Dah pole halafu kipindi cha pili ndo kapata goli 3 kabisa
Buddy nataka kurudi nipe odd 2 tu
Mr wise uko vzur
Karibu sana mkuu!!tuendelee kubahatishaChief unatisha sn ... itabidi nikirudi nianze kutembelea nyota yako.
Karibu sana mkuu!!tuendelee kubahatisha
Noma sana...ila ukishajua kua betting ni biashara kama biashara zingine na biashara yoyote kuna faida na hasara(kuna kula na kuliwa) utaumia kidogo na kupotezea, maana hawez kukula milele lazima nayeye umnyooshe sehemu na ku recover. Huwezi amini jana usiku kanipiga lak3 za ghafla, nikaaga nalala but usingizi haukuja nikaamka nikamtega nikarudisha changuAlinipiga km kilo 4 za haraka haraka ndani ya cku 4 hv mpk nkawa naona giza. Kila nkitia mguu napokea ya uso [emoji28][emoji28]
Nimewapa hapo juu mnadhani natania, ile pesa ya nje kabisa mwaweza cheza hata under 3.5 kama mnahofu na 2.5, mfano saizi iyo inayochezwa piga ua hawawezi vuka magoli mawili maana anayeongoza tiari yuko na red card na yuko home mechi ya kwanza wali0-0.Leo nacheza
Nahisi wamisri nao walibet haiwezekani wanichanie mkeka DKK ya 92[emoji15] [emoji15] [emoji15]Umebakiza wamisri mkuu....kama ulicheza wote.... Hhongera ....
Kaka mimi nilipigwa karibia 2m last week.Alinipiga km kilo 4 za haraka haraka ndani ya cku 4 hv mpk nkawa naona giza. Kila nkitia mguu napokea ya uso [emoji28][emoji28]
Nimewapa hapo juu mnadhani natania, ile pesa ya nje kabisa mwaweza cheza hata under 3.5 kama mnahofu na 2.5, mfano saizi iyo inayochezwa piga ua hawawezi vuka magoli mawili maana anayeongoza tiari yuko na red card na yuko home mechi ya kwanza wali0-0.
Sina hamu, magoli mawili yamefungwa bado dak 10 mpira uishe, nawashukuru sana.Hahahaha ... kaka wameshapiga 3-0
View attachment 363283
Chief, kwa Kanjibah inabidi kumwendea kwa utulivu 100% ... hakuna hela ya nje nje
dah mkuu tunakumiss sana aseeKaka ungempa ushindi wa moja kwa moja Astana. Wanaweza sn hawa jamaa ... ktk game 10 atakuangusha game 1 au 2 tu. Wenye mitaji, Club friendlies zinatoa magoli mengi sn, wekeni 2+ au 3+ ... ushindi wa moja kwa moja kimeo
dah mkuu tunakumiss sana asee