Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkekabet badala ya kuboresha mfumo wao wameharibu.
Nashindwa kufanya chochote na hawa jamaa...
Nasubmit ticket haionyeshi potential winning wala status ya tiketi.

Au ndo wameamua kikimbia ????

Kaka hatamimi Mimi masaa mawili kimya
 
daaaah, hzi mechi za kirafiki si mchezo. hizi dawa yake ni kucheza bukubuku na jerojero kama kujifurahisha tu maana ndio ulevi huu. Ile mizigo mikubwa ya miss bantu tusubiri ligi ianze jamani.
 
daaaah, hzi mechi za kirafiki si mchezo. hizi dawa yake ni kucheza bukubuku na jerojero kama kujifurahisha tu maana ndio ulevi huu. Ile mizigo mikubwa ya miss bantu tusubiri ligi ianze jamani.

Hizi dawa yake ni kutafuta timu 2 au 3 zitakazotoa magoli mengi then unawapa magoli mawili kipindi cha kwanza.
 
BET WON kabla game kuisha......nimefunga biashara mpaka kesho sasa
 
Hizi dawa yake ni kutafuta timu 2 au 3 zitakazotoa magoli mengi then unawapa magoli mawili kipindi cha kwanza.

kaka kanji nilimla pesa nyingi sana wiki mbili tatu hizi. Sema leo nilivaba vibaya sana premier bet nimeliwa kama 600k hadi mda huu tangu monie. mda huu nimehamia meridian natupia mechi zikiwazinaendelea ili niminimize loss. Sio mbaya hadi alfajiri loss ya 600k itakua covered yote.
 
Ebana nmeongea namtoa uduma mkeka bet juu yakuondoa option ya kuonyesha wap umeloose au umewin kadai nao wameshabain kua nimojawapo yamapungufu yaliyojitokeza so anadai watalifanyia malekebisho hli ilud ktk hali take.
 
Safi sn kwa kufuatilia hili Chief.
 
BIG UP Chief ... napenda mpango wako huu ... hahaha, yani unamdokoa mdogo mdogo. Slowly but sure. Aisee umeni-inspire sn. Ntakuwa nakufuata, narusha kilo kilo tu.
Sure ni kujizuia kutamani sana mi odds, ukila 80 hadi 100,000 kwa odd 2 za uhakika kwa siku alafu unapumzika, yani kwa hizo hesabu kwa mwezi una uhakika wa 2m hadi 3m.
 
Sina hamu, ukipigwa mfululizo unachanganyikiwa kabisa yaani unacheza tu mpaka zinaisha, nimebakiza za mekekabet tu nazo ni bahati maana hazijaingia mpaka saizi zingeshaisha.
 
Sure ni kujizuia kutamani sana mi odds, ukila 80 hadi 100,000 kwa odd 2 za uhakika kwa siku alafu unapumzika, yani kwa hizo hesabu kwa mwezi una uhakika wa 2m hadi 3m.

Kweli kbs Chief ... kesho nagonga hodi twende pamoja. Ni mwendo wa Singles tu.
 
Kama kuna mtu alimpa Dundee direct win kimekula kwake,kanichania mkeka mmoja umebaki niliompa 2+
 
Hawa St.Patrick walichonifanya Leo sina hamu nao wanafungwaje na kitimu cha Luxembourg kweli mpira ulaya unaanza kukaribia kulingana sikutegemea kufungwa na timu mbovu vile
 
Sina hamu, ukipigwa mfululizo unachanganyikiwa kabisa yaani unacheza tu mpaka zinaisha, nimebakiza za mekekabet tu nazo ni bahati maana hazijaingia mpaka saizi zingeshaisha.

Sio jambo la kucheka lakini umenichekesha sn Sumve2015. [emoji38][emoji38][emoji38], yn achana na kipigo cha mfululizo aisee ... mm nlikuwa cjawahi kukionja, nimekionja majuzi hapa.

Kaka unaweza jiuliza umemkosea nn muumba! Mimi eti hata timu ambazo huwa zinatoa magoli mengi cku hiyo wakapewa 2+ odd ya 1.2 Kanji akaila 100K yngu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…