Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Hehe...kweli mchezo hautaki hasira huu, naikumbuka vizuri sana siku ile mpaka timu za Estonia wanaofungana magoli hata 10 siku ile likakomea goli moja, Australia the same, mala Wa kusoma akatoa tamko, sina hamu.Sio jambo la kucheka lakini umenichekesha sn Sumve2015. [emoji38][emoji38][emoji38], yn achana na kipigo cha mfululizo aisee ... mm nlikuwa cjawahi kukionja, nimekionja majuzi hapa.
Kaka unaweza jiuliza umemkosea nn muumba! Mimi eti hata timu ambazo huwa zinatoa magoli mengi cku hiyo wakapewa 2+ odd ya 1.2 Kanji akaila 100K yngu
Bet WonBet 1 to 3.....
Friendly games.
1. 05.07.16 21:45
Arbroath FC - Turriff United (Double Chance)
Customer type: 1/2 @ 1.22
Result:
2. 05.07.16 21:45
East Fife FC - Edinburgh City (Double Chance)
Customer type: 1/2 @ 1.25
Result:
Wakusoma we unaeka hela nyng na huwa unakula nyngi ! Mbn umekata tamaa ? Cc 2naeweka buku 2 timu 10 naa bdo 2mo ! Wakt saingine 2nafkiria nkipga laki nianza kuweka laki timu 2 ! Kweli kubet kazii ! Inamana zote ulizopga umemrudishia kanjibai ?Natamani sana kurudi mchezoni. Hahaaaaaaaaaa. Kweli huu ni uraibu jamani
Mkuu unajiripua me cna iman hiyoo bora nliwe ht 30 ! Ila nacheza buku2 tu.Kaka mimi nilipigwa karibia 2m last week.
Yaani mpaka leo sijielewi kabisa
hahahahaaaaNawaza tu.Hivi tukipeana zoezi la mtu X abobee EPL,mtu Y abobee Bundasliga,mtu K abobee England Champions league,n.k.
then msimu ukianza kila mbobezi anatuletea odds 2 au 3.
Nahisi kwa umoja huo mhindi atabaki bila ndevu.
Msimu huu ni msimu wa dollar tu
Wacha tuisubirie
Ila nayo siku nzuri
England premiere,championship,league 1,league 2, conference national....hizi hazinisumbui ndio zinanipaga pesa.... Nasubiri tu waanze.... Meridian keshawaweka wote....Nawaza tu.Hivi tukipeana zoezi la mtu X abobee EPL,mtu Y abobee Bundasliga,mtu K abobee England Champions league,n.k.
then msimu ukianza kila mbobezi anatuletea odds 2 au 3.
Nahisi kwa umoja huo mhindi atabaki bila ndevu.
Betting ni biashara kama biashara zingine. Cheza singles kwa ustawi wa biashara yako. Mikeka ni hatari kwa afya ya yako. Cheza kistaarabu.
Eid Mubaraq nyote.
Tujaribu hapa :Kweli hiyo "hatari kwa afya yako" nimei-experience vzr mnooo ... Mr Wise, leo tunatokaje Chief?