Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

naaanza uchambuzi wa epl agost 13 maana hz timu ndgo ndgo sawa na kumdhamin mmasai
 
buddy Maneno yanaumba kaKa. Na kweli limepatikana moja tu. Bet won bet lost
 
Hahaha unaweza ukashangaa kipindi cha pili kuna goli moja tu ... nimerusha 40K hapo.


Daaah sijui maneno huumba??? ... ameshachukua 40K yangu grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Hii "In Play" ya Premier??vipi kila nikiweka mkeka naona kuna option za ku tick za accept any odd ama high odd...hapo vipi huwa siwaelewi


click kwenye game husika Chief, ndio options zaidi utaweza kuziona na kuchagua unayotaka.
 
Huu mchezo sina hamu nao tena nilikaribia kufilisika kabisa yan, nilikulaga pesa ndogo sana tena mara moja lakin nilizoliwa ni aibu kuongea tena ni timu moja tu ndo inaharibu na huwez itegemea kabisa.Nashukuru nina miez kadhaa sijagusa ichi kitu maana kuacha ilikuwa ngumu kama unga vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…