Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

tatzo hizo KO za mfululizo znapoteza confidence cunaona buddy alivopotea kwenye form


Hahahaha ... Chief hujakosea kbs, ... ukipigwa mfululizo chances za kuendelea kupigwa ni kubwa sn. Leo nimerudi kwenye game lkn bado sielewi elewi.
 
Hahahaha ... Chief hujakosea kbs, ... ukipigwa mfululizo chances za kuendelea kupigwa ni kubwa sn. Leo nimerudi kwenye game lkn bado sielewi elewi.
Uliweka mzigo kwa yule Pzen niliyekuwekea???????Tumeshakula ela mapema sana pale
 
tatzo hizo KO za mfululizo znapoteza confidence cunaona buddy alivopotea kwenye form
Nadhani ukunipata, sikumaanisha magoli ya both team to score, ila idadi ya goli yani UNDER/OVER. Game hizi hawakaziani so kufungana kupo sana
 
Uliweka mzigo kwa yule Pzen niliyekuwekea???????Tumeshakula ela mapema sana pale


Bwana weee ... mzigo nliotaka kuuweka Kanjibahi keshauchukua, nlitaka 40K igeuke 80K then nitupie kwa Plezn. Ila safi sn kamanda ... nmeona HT wameenda 1-3.
 
Yaani mi naamin hata unga unasubir
 
Friend matches n kucheza magoli tu tena live ndo inanoga over 4.5, 5.5, 6.5 za kumwaga sema meridian timu zikipigana goli 3 za fasta anawahi kuondoa game
 
TZS 100,000.00 on Lincoln Red Imps FC @ 2.00

Placed On: 03/06/2016 18:10

Bet Type: Single

Settled (Y/N): No

Total Stake: 100000

Payout: 0


Event: Lincoln Red Imps FC v Flora Tallinn

Market: Draw No Bet

Selection: Lincoln Red Imps FC

Price: 2

Ngoja nijaribu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…