Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahahaaa...nlikuwa sijaliona hili aisee hii kiboko, we ngoja washindwe kuchangamkia fursa mala ndo vitu vinatoa..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
LINCOLN RED IMPS
VALLETA FC
apo vipi jamani kwa maana mhindi kazipa pointi nyingi sana.....yaani zitapoteza!
 
Baada ya France kunimaliza mtaji ngoja nianze kudunduliza kwa salio lilobaki mkekabet.
 
Mungu bariki kazi ya mikono yangu... Nishike mkono eee baba....nguvu ya wachawi ipite mbali kabisa...baba wewe wajua wanao tunavyopunwanga..... ikiwa kwa mapenzi yako niondolee kikombe hiki cha kupunwanga......
 
Attachments

  • kokoro.png
    26.4 KB · Views: 40
Nashukuru mkuu nimejaribu kujiunga wamekubali ila kila niki log in wananiambia prayer not found
 
hahahaaa umenifurahisha sana mkuu umeamuaa ufanye maombi kabisa sasaaa maana hakuna namna sasaa..
Mungu bariki kazi ya mikono yangu... Nishike mkono eee baba....nguvu ya wachawi ipite mbali kabisa...baba wewe wajua wanao tunavyopunwanga..... ikiwa kwa mapenzi yako niondolee kikombe hiki cha kupunwanga......
 
MKUU na hii promocode na postcode ni nini zipo ktk app ya meridianbet wakati wa kuJOIN

natanguliza shukrani
 
postcode weka 255 ikikataa weka 0255, promocode sikuweka wakati najiunga hiyo inasemekana ni namba za wahudumu, nyumba nyingine ni kwa ajili ya promotion na kutrack ulionea wapi tangazo lao.
 
Nashukuruu mkuu
 
Imenambia tayari niko joined lakini nikijoin jibu ni lile lile "PRAYER NOT FOUND"
 
karibu kwenye huu uraibu, nenda kwenye Email uliyojaza kisha click url link waliyokutumia hapo utakuwa umeactivate acc yako.
baada ya hapoitafunguka
 
Imenambia tayari niko joined lakini nikijoin jibu ni lile lile "PRAYER NOT FOUND"
nani anajua siku yako ya kwanza ikawa ya bahati jaribu

z mostar 0-3
galatasaray win/draw
bate -1 win
 
Bado ni PRAYER NOT FOUND wakati huo nimetumiwa hii toka jana

On Jul 9, 2016 8:04 AM, <info@meridianbet.co.tz> wrote:
Congratulations! You have successfully activated your account on our server!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…