Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hah hah hah hah Mkuu unaamini ingesaidiaa
Inaweza kusaidia aseee..... Msimu uliopita nilipanda mpunga muda wa kuvuna nioavuna gunia chache sana.....wenyeji wakasema unapovuna kuna wenzako wanavuna huwaoni ....weka mifupa ya naniliu..... Msimu huu nimeweka vidubwana hivyo ....mbona nimepata zaidi kuliko msimu uliopita....
 
Bado ni PRAYER NOT FOUND wakati huo nimetumiwa hii toka jana



On Jul 9, 2016 8:04 AM, <info@meridianbet.co.tz> wrote:
Congratulations! You have successfully activated your account on our server!
Ingia kwenye email yako ....kuna Ujumbe wamekutumia..... Kuna link ...click hiyo link ili uactivate account
 
Bado ni PRAYER NOT FOUND wakati huo nimetumiwa hii toka jana



On Jul 9, 2016 8:04 AM, <info@meridianbet.co.tz> wrote:
Congratulations! You have successfully activated your account on our server!
jaribu kuandika email yako na password kwa umakini
kwenye small letter weka small, kwenye capital weka capital mkuu...
 
Duh premer wekuwa janga nao ukiweka hela sasa iv unasubiria kama unaenda leba hivi mpaka ifike
 


Daaah, huyu nae bila aibu kachukua "front seat" af ndo mchawi sasa ... yani Rochedale City ameshindwa kufunga goli mbili, mxiiiiuuuuuuuuuuuuu. Nachukua baadhi zilizobaki naunda kokoro jingine mamaaeeeeee


 
Sometimes ukibet kwa kuangalia haya ma league tables yanaku-mislead. Game iliyopita alichezea kichapo nikajua kwa nafasi aliyopo lazima atatoa dozi leo kumbe nlikuwa najidanganya ... sheeeenz kbs

 
mkuu mie nilichagua timu humu nikaogopa hizi 2*2 nkachukua option za kawaida ila zmenitafuna rochdale ndio alianza...ila next time ntakuwa nachukua hzohzo tuu
Daaah, huyu nae bila aibu kachukua "front seat" af ndo mchawi sasa ... yani Rochedale City ameshindwa kufunga goli mbili, mxiiiiuuuuuuuuuuuuu. Nachukua baadhi zilizobaki naunda kokoro jingine mamaaeeeeee


View attachment 365579
 
WAZEE WENZANGU leo natatka nitoke kitofaut baada ya option zote kufeli nataka niweke II2+
sasa mwenye kujua timu zitzotoa magoli leo..
 
Bado ni PRAYER NOT FOUND wakati huo nimetumiwa hii toka jana



On Jul 9, 2016 8:04 AM, <info@meridianbet.co.tz> wrote:
Congratulations! You have successfully activated your account on our server!
Utakuwa unakosea password
 
Daaaaah, yan leo Kila mtu katoa kokolo Lake
Utakuwa umekosea REF#
Hamna kaka. premier kunasiku wanazingua sana. Jana mm niliweka laki ikagoma kusoma kwenye a/c ya premier ila sms ya tigo pesa inasema mpunga umetumwa. Hapo ujue labda wiki mbili zipite ndio nitaona hela imerudi kwenye a/c ya tigo pesa. Na kama unatumia voda kuweka hela ujue ndio umepigwa tena.
 


Naona wote saiv inazingua ... si mkekabet, si meridian, si premierbet. Nimejaribu kuweka kote huko mpk saiv hakuna ilipoingia.
 
Naona wote saiv inazingua ... si mkekabet, si meridian, si premierbet. Nimejaribu kuweka kote huko mpk saiv hakuna ilipoingia.
Hii itakua ni option mpya ya kubet. Unabet kuwa hela inataingia au haitoingia.
 
premier ni janga pesa nimeweka kuingia haingii na msg ya m-pesa haijafika..... pesa imekatwa duuuuh
safari hii siiachi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…