Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bilu safi sana. Hizo odds 226 zingenikuta mm nayecheza kama cha chini 10k ningekua naongea mengine mda huu.
Yaani nimeziwazia sana hizo odd sana, jamaa kaweka buku kalamba elfu 40 ningekuwa mimi nisiyeweka dau chini ya laki hapo ilikuwa M4
 
Jamani naombeni msaada asubuhi nilituma text kwenye huu uzi saiz Sheeda yangu ni kila nikiweka user name wakati na sign up premier naambiwa invalid niujuzen plz
# thanks
Web site ya premier bet hakikisha umeingia ya tz. La sivyo huwezi kulog in. Andika sport.premierbet.com/tz
 
Jaman msaada kdgo DCX2 inamaanisha nn? Napia nlweka kilo tarehe 7 premier bet kwa voda had leo haijafka kwenye account yangu nfanyeje au ndo mhnd kaidaka ju kwaju.
 
Sina makuu;

Fc Compehag WIN
Rosenburg WIN
Norrkoping WIN

Odds 3.14

Mungu Bariki.
 


Huyu Liaoning ameniwahi ... nlikuwa nasubiri aongeze goli moja tu niu-turbo ... sasa kaharibu kazi nzr yooooote iliyofanywa na wengne. Mxiiuuuuuuuuuuuu


 

Huyu Liaoning ameniwahi ... nlikuwa nasubiri aongeze goli moja tu niu-turbo ... sasa kaharibu kazi nzr yooooote iliyofanywa na wengne. Mxiiuuuuuuuuuuuu


View attachment 366724
Buddy wacha hiyooo. ni mbaya sana. Buddy bora utupage odds mm na wakusoma tujilipue tu maana kila siku bukubuku lazima mchawi akuharibie.
 
Buddy wacha hiyooo. ni mbaya sana. Buddy bora utupage odds mm na wakusoma tujilipue tu maana kila siku bukubuku lazima mchawi akuharibie.


Hahaha, nyie wenyewe mnashauri "Bet what you can afford to lose" ... leo siwezi ku-afford ku-lose 10K, 20K, 50K, 100K etc ... jmn kwa hiyo nisibet kwa buku ambayo naweza ku-afford kulose???
Acheni kutunyayapaa wenye vimitaji vidogo
 
Unashauri acheze ngapi ale ngapi.... Maana hata 10 ale 80 uliipinga pia??!!
Ukiweka buku 1 ule mwisho buku 5 na ukiweka buku teni ule mwisho buku 30
Ukiweka laki ule laki mbili
Ukiweka laki tano ule laki tano

Kwa wale mliosoma sequency & series angalieni hapo kuna kitu kwa kadri unavyoongeza odd unapunguza dau maana probability inazidi kupungua
 
Hahaha, nyie wenyewe mnashauri "Bet what you can afford to lose" ... leo siwezi ku-afford ku-lose 10K, 20K, 50K, 100K etc ... jmn kwa hiyo nisibet kwa buku ambayo naweza ku-afford kulose???
Acheni kutunyayapaa wenye vimitaji vidogo
Hahaha..yaani sina hamu hapa, nipeni odds 2 za kulalia, sijiamini kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…