Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kama kuliwa tushaliwa sana tu. ngoja niliwe tena leo.

Cork City FC v Wolverhampton Wanderers
Cork city win.
odds 24.
stake 10k
return 240k
mm nilishatupia tangu asubuhi jamani kabla odds hazijachakachuliwa. Maana hizi moja moja znatuua kila siku.
 
Mhindi angeniliza Leo [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ahsante kwa ushauri wako mana ingekula kwangu!!! Duuuu nili turbo faster


Hahahah ... bora ulifuata ushauri. La sivyo Midtjylland wangekuharibia kazi nzuuuuri waliyoifanya wengine.
Ila kuna mitimu nafkiri nayo inabet sio bure ...Sasa Kalmar ni wakupewa kichapo na Gefle kwl??? daaah, tunashangazwa kila uchao mamaeeee

 
Ngoja nikalale ... auchane na huu tu ss hesabu ikamilike.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…