Mkuu sijakupata hapa kwenye handicap ya 0:2Hebei handicap 0: 2. 1.53
Yanbian Handicap 0:2. 1.67
Guangzhou evergreen. Handicap 0: . 1.71
Guangzhou evergrade 12. 1.24
Sapporo 2+. 1.47
Fagiano Okayama 1x 1.23
Giravanz Kitakyushu 2+. 1.37
Handicap 0:1 .... Wa ugenini unakuwa umemfuata na goli alilopewa ukitoka sare 0-0, 1-1, 2-2 umeshinda (maana unaongeza goli lako la kupewa), akishinda pia umeshinda Hivyo Hivyo kwa handicap 1:0 ( hapa wa nyumbani ndio amepewa goli moja.Mkuu sijakupata hapa kwenye handicap ya 0:2
DedicationAm officially back
Dedication
Welcome back - Mase..... Karibu bana
Karibu sana Mimi nitarudi rasmi AugustNaanza na za leo Saa saba kwa dau lile lile la 500k
Sitashuka 500k kuanzia dollar hadi tsh
Nitakuwa naweka uthibitisho
Hii ni biashara kama zingine
Siku zote mtaji mkubwa faida kubwa
Tupinge hizi odds nyingi ambazo unakuta timu moja ndio yakuua
Kuna option kibao sana epuka kuwapa straight win
Kuna kuliwa na kula
Kazi kwako sasa
Bet Responsibly
Bet what you can afford to lose
Hii niliidesa kama ilivyo.Oxford Utd - Leicester City
Over 1.5 goals (Half time)
Odds = 2.32
Hongera Mtoto wa nzi huu niliucancel stage ya mwisho kabisa. Kweli uwoga wako umaskini wako.Bet won
MKUU SHUSHA NONDONaanza na za leo Saa saba kwa dau lile lile la 500k
Sitashuka 500k kuanzia dollar hadi tsh
Nitakuwa naweka uthibitisho
Hii ni biashara kama zingine
Siku zote mtaji mkubwa faida kubwa
Tupinge hizi odds nyingi ambazo unakuta timu moja ndio yakuua
Kuna option kibao sana epuka kuwapa straight win
Kuna kuliwa na kula
Kazi kwako sasa
Bet Responsibly
Bet what you can afford to lose
Karibu kamanda. Wacheki roasso GG au Ehime GG. Maana japani kunaneema ya magoli. Mm ngoja niuze mazao ndio nitarudi.Am officially back
Nimepata hilo tatizo pia aisee, shida ni nini?Sijawahi kukutana na hiii premier bet
"Error bet can not be placed".... Inakuwaje hapa
Safi sana Buddy sasa umekuaMuda wa kuyabinya umekaribia ...
Tianjin Teda - 1X&2+ (odds 1.49)
Pohang - 2X&2+ (odds 1.81)
Bangkok Utd - I1 (odds 1.57)
--------------------------------------
Tota Odds = 4.23
Stake 500K
Inafanya kazi mkuu, nimetoka kutupia mda huu.dah ...premier betting wamekuwa mapumbavu sasa.... tangu asubuhi mpaka sasa unajaribu kubet bado "error , bet can not be placed".... kuna aliyefanikiwa kubet leo premier bet