Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
nacheza hapa inanigomea.......Inafanya kazi mkuu, nimetoka kutupia mda huu.
Unatumia nini mkuu? Pc natumia system ipo poa.nacheza hapa inanigomea.......
Jana nilipitia hapa nikaenda kutengeneza hili kokoro ila tokea asubui meridian wakawa wanazingua kulog,nimecheki sasa hivi kumbe nimemtusua. inHull city kashindwa 2+.... Bet lost .....
Naona kokoro limetoka na samaki vichanga kibaooo.... Hongera.... Hapa mi naangalia tu mechi nnilizoziTIP zinaendaje.... Bado nipo kwenye test.... Nilitaka kuziwekea 2000....ndio vile mpaka zimeanza kitu kimegoma nlikua natumia mozilafirefox(kwenye laptop) kama siku zote inagoma... Napata akili ya kubadiliasha browser kutumia GoogleChrome ndio imekubali ... Na mechi zimeshaanza.... Acha tu niobserve ingekuwaje....Jana nilipitia hapa nikaenda kutengeneza hili kokoro ila tokea asubui meridian wakawa wanazingua kulog inView attachment 368042
Mkuu siku zote matumiaga simu au laptop nikiwa na simu nacheza nikiingia kwa laptop nacheza .... Browser yeyote ..... Sasa nimeshangaa Leo naingia mozilafirefox kwa simu ikagoma .... Nikaingia kwa laptop bado ikagoma..... Ndio nimebadili sasa kutumia Google chrome ndio imekubaliUnatumia nini mkuu? Pc natumia system ipo poa.
Si uwape tu BOTH TEAM TO SCORE & OVER 2.5 (GG & 3+)....Bayern leo inafanya yao, 2-1
Bayern Munchen Vs Man City 1Si uwape tu BOTH TEAM TO SCORE & OVER 2.5 (GG & 3+)....
Pole kakaEhime x1
Shimize over 1.5
Wajapan Leo wamepita na watu vibayaaaaaaPole kaka
Jana nilipitia hapa nikaenda kutengeneza hili kokoro ila tokea asubui meridian wakawa wanazingua kulog,nimecheki sasa hivi kumbe nimemtusua. inView attachment 368042
Mi nilitupia mkeka jana usiku, leo nimeshindwa kabisa, wahuni hawa, leo pesa ilikuwa nje nje!dah ...premier betting wamekuwa mapumbavu sasa.... tangu asubuhi mpaka sasa unajaribu kubet bado "error , bet can not be placed".... kuna aliyefanikiwa kubet leo premier bet
Muda wa kuyabinya umekaribia ...
Tianjin Teda - 1X&2+ (odds 1.49)
Pohang - 2X&2+ (odds 1.81)
Bangkok Utd - I1 (odds 1.57)
--------------------------------------
Tota Odds = 4.23
Stake 500K
pole kamanda lakin c ulitangaza kurud august imekuaje tenaBET LOST!
Tianjin Teda - game postponed
Pohang - kambwela mshenzi huyu (unapigwaje na litimu liko mkiani huko... mxiuuuuuuuu)
Bangkok Utd - asante sana, nitakubetia tena siku nyingne.
pole kamanda lakin c ulitangaza kurud august imekuaje tena
Waliotangaza kurudi August ni Wa Kusoma na Mtoto wa Nzi bab ... mi siwezi kujicommit hivyo wkt hela yangu iko kwa Kanji, namuibukia muda wowote aisee.