strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Mie ndo nafanya assignment ya mikeka
Leo nimekula mpunga mape eeema! Niliweka buku 10 nimekula buku 55 na kitu! Shukran za dhati kwa uruguay na s.korea!
yap...possible
unawith draw vip mkuu ..alaf km una namba zao nisaidie maana jana nimedeposit had leo sijawekewa hela yangu au ndo nimeliwa?
Nipo nacheza online kwa sasa ili nipate dau la kumpa Coventry na Brazil
Asante CFR Cluj, 105000 hiyoooooo
Online play nzuri sana leo kwa upande wangu lazima kieleweke
Huwa natumia meridian kuna option nyingi ambazo siwezi elezea zote.
Huwa nacheza goals sana sana
Asante CFR Cluj, 105000 hiyoooooo
Online play nzuri sana leo kwa upande wangu lazima kieleweke
Kakaaaa tutupie match hizoooo!! Unakuka wewe tu:-D
Nashukuru kwa shule naona mambo yangu yameanza kua mazuri, nitaanza kutoa tips very soon.
Mafanikio ndo kama hivi
View attachment 183103
Mie nilikuwa nacheza mechi ya shaktar vs cfr cluj mechi imeishia draw
Sasa nageukia mechi ya fiorentina ina kama 50000 hivi za bure
Lindeni mitaji ndugu zangu, hii ni biashara kama biashara nyingine