Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wenzangu leo kuna hela tulizeni vichwa mpange mikeka vyema kesho itakuwa siku kuu
 
Leo nimekula mpunga mape eeema! Niliweka buku 10 nimekula buku 55 na kitu! Shukran za dhati kwa uruguay na s.korea!
 
Nipo nacheza online kwa sasa ili nipate dau la kumpa Coventry na Brazil
 
unawith draw vip mkuu ..alaf km una namba zao nisaidie maana jana nimedeposit had leo sijawekewa hela yangu au ndo nimeliwa?

watumie ID yako na text uliotumiwa baada ya kudeposit mpesa au tigo pesa....kwenda leko@iplay8casino.com au roburt@iplay8casino.com

kiwithdraw....unarequest online kama uliweka namba ya voda unachagua mpesa ka ni tigo..tigo pesa..mpunga unaingia ndani ya 48hrs
 
Shaktar asante sana goli zenu tatu zimenipa mpunga 71000
 
Huwa natumia meridian kuna option nyingi ambazo siwezi elezea zote.
Huwa nacheza goals sana sana
 
Asante CFR Cluj, 105000 hiyoooooo
Online play nzuri sana leo kwa upande wangu lazima kieleweke
 
Huwa natumia meridian kuna option nyingi ambazo siwezi elezea zote.
Huwa nacheza goals sana sana

Asante CFR Cluj, 105000 hiyoooooo
Online play nzuri sana leo kwa upande wangu lazima kieleweke

Nashukuru kwa shule naona mambo yangu yameanza kua mazuri, nitaanza kutoa tips very soon.

Mafanikio ndo kama hivi

GG.PNG
 
Kakaaaa tutupie match hizoooo!! Unakuka wewe tu:-D

Mie nilikuwa nacheza mechi ya shaktar vs cfr cluj mechi imeishia draw
Sasa nageukia mechi ya fiorentina ina kama 50000 hivi za bure
 
Lindeni mitaji ndugu zangu, hii ni biashara kama biashara nyingine
 
Wazee wenzangu mimi hali ynagu ni mbaya sana, ila hongereni kwa nyie mlio vuna
 
Back
Top Bottom