Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Italy lose france lose kawaida....10000 kwa 65000.....vp hiyo friendly leo
 
Iraq vs Peru..... Iraq kapewa 3.80 jamani hii ni pesa ya Bureee, hawa jamaa wanashinda
 
jamani huku kwenye U 21 kuna pesa za bule jaribuni kubet coz France hadi sasahivi anaongoza kwa goli 5 mechi badi inaendelea kwa wale wa over 3.5 tumeshakula mpunga mapema
 
jamani huku kwenye U 21 kuna pesa za bule jaribuni kubet coz France hadi sasahivi anaongoza kwa goli 5 mechi bado inaendelea kwa wale wa over 3.5 au over 2.5 tumeshakula mpunga mapema
 
Aaah Jumamosi najitupia mzima mzima lazima ni double kwa kila mechi. Bet big on a single team and win big
 
Mm sijacheza tokea w/end...ila kesho ntacheza african cup
 
Back
Top Bottom