Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bye bye betting kwa leo mmenipatia ila kesho nawapatia mie
 
Dah yaani German unafingwa kabisa kabisa daaah hela yanguuuuu uuuuwi.
Uuuwi kuwa na huruma German hebu rudisha hayo magoli mapema kabla sijaamka maana nasikia mwili wote waumaaaaa. Jamaniiii hii kitu gani.
Yaani wenzako wote wako safi ni wewe tuu ayaya ayaya

hahaha....kama kawaida, lazma mshenz mmoja akuchanie mkeka
 
Germany haikua ya kuipa leo wakuu.. WC Final alishinda kwa shida 120 wakati huo Argentina hakuwa full mkomo
 
tatizo hi option naona ni wknd mpaka wknd ama kuna sehemu wanaweka kila siku?

ofcoz...alaf ni kwenye 5 major leagues...nahis wangeweka pia kwenye hizi ligi ndogo ndogo ambazo vichezaj vinanjaa kichizi...vingekuwa vinacheza rafu za ajabu ili vipige hela...maana hizi ishu ndogo ndogo kama cards, corners...sio rahisi saaana kushtukiwa kwenye skendo za match fixing
 
Ama kweli penzi ni kitovu cha uzembe, game ya Germany na Argentina nimeiotaa hii kua Germany watakufa, nimeenda kwa demu nimesahau kubet,
 
jana kuna mpuuzi.....perana katoa 0-0 ..... niwepa peke yao double chance...... nkapigwa za uso..... hapo preston keshantia za mbavu 1.5+...katoa 1-0..... dah nkasema poA .....nkaamka nawajapa na wakorea wazeee wa huuu haaa..... nkasema lazima akae...... nkachukua wajapa wote wa4 2+ .....URAWA KASHINDWA..... KATOA 0-.0...... WAKOREA NAO.AKATOA 1-0.... ... DAH...... KULIWA KULIWA......HILI KNOCK OUT .....HATARI...... NILIPIGA COUNTER ZA LIVE NKAMPIGA 300000 MTAJI 30000 TANGU JUZI NASHINDA LIVE NABET KWENYE SIMU... point 3 au 4 naweka 5000 .... KARUDISHA YOOTE ...MZEEEE ...... soka noma sna....UKRAINE HUYOOOO KASARE HALF.....

hahaha unatumia kampuni gan?
 
Mliowapa ujerumani mmejitakia... Wenye akili tulijua mechi ya leo argentina lazima alipize kisasi.. Pointi 4 watu tumekula.hela kilainiiiiiiii
 
hahaha unatumia kampuni gan?

Meridian mkuuu.... yaan nakuwa kama customer care bana...... nashinda kwenye laptop siku nzima....... ila jana kajaaaa urusi ukrain costa rica honduras ireland.....nkatupa 25000 .....nkanpga 1130000
 
Meridian mkuuu.... yaan nakuwa kama customer care bana...... nashinda kwenye laptop siku nzima....... ila jana kajaaaa urusi ukrain costa rica honduras ireland.....nkatupa 25000 .....nkanpga 1130000

duh, umeamka na milioni???
 
Ila wakuu sasa mbna wengine huwa wanatuambia tu wametusua.....si group limeundwa kusaidiana
 
Meridian mkuuu.... yaan nakuwa kama customer care bana...... nashinda kwenye laptop siku nzima....... ila jana kajaaaa urusi ukrain costa rica honduras ireland.....nkatupa 25000 .....nkanpga 1130000

Hongera,uanikage mkeka wako na kampuni unayobetia na jinsi ya kulipia mkuu
 
Back
Top Bottom