Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah yaani German unafingwa kabisa kabisa daaah hela yanguuuuu uuuuwi.
Uuuwi kuwa na huruma German hebu rudisha hayo magoli mapema kabla sijaamka maana nasikia mwili wote waumaaaaa. Jamaniiii hii kitu gani.
Yaani wenzako wote wako safi ni wewe tuu ayaya ayaya
tatizo hi option naona ni wknd mpaka wknd ama kuna sehemu wanaweka kila siku?
jana kuna mpuuzi.....perana katoa 0-0 ..... niwepa peke yao double chance...... nkapigwa za uso..... hapo preston keshantia za mbavu 1.5+...katoa 1-0..... dah nkasema poA .....nkaamka nawajapa na wakorea wazeee wa huuu haaa..... nkasema lazima akae...... nkachukua wajapa wote wa4 2+ .....URAWA KASHINDWA..... KATOA 0-.0...... WAKOREA NAO.AKATOA 1-0.... ... DAH...... KULIWA KULIWA......HILI KNOCK OUT .....HATARI...... NILIPIGA COUNTER ZA LIVE NKAMPIGA 300000 MTAJI 30000 TANGU JUZI NASHINDA LIVE NABET KWENYE SIMU... point 3 au 4 naweka 5000 .... KARUDISHA YOOTE ...MZEEEE ...... soka noma sna....UKRAINE HUYOOOO KASARE HALF.....
mi nimeshakula mpunga sasahivi nitalala usingizi mnono nashukuru sana
Russia
Ukraine
Ireland
England
hatareeewale wa over 1.5...kuna ligi kama za argentina...dah, kule magoli hamnaga kabisa yani unaweza kuta over 1.5 goals odds zake ni 0.60...si ya kugusa hii
hahaha unatumia kampuni gan?
Meridian mkuuu.... yaan nakuwa kama customer care bana...... nashinda kwenye laptop siku nzima....... ila jana kajaaaa urusi ukrain costa rica honduras ireland.....nkatupa 25000 .....nkanpga 1130000
Meridian mkuuu.... yaan nakuwa kama customer care bana...... nashinda kwenye laptop siku nzima....... ila jana kajaaaa urusi ukrain costa rica honduras ireland.....nkatupa 25000 .....nkanpga 1130000
Umetisha
Meridian mkuuu.... yaan nakuwa kama customer care bana...... nashinda kwenye laptop siku nzima....... ila jana kajaaaa urusi ukrain costa rica honduras ireland.....nkatupa 25000 .....nkanpga 1130000