Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0-0 umeliwaWazee wenzangu ukibet (half 1 time 28+) halafu ikatokea goli la kwanza likafungwa kipindi cha pili au full time ikawa bilabila hapo unakuwa umekula au umeliwa?
Leo kumepoa huku.
unaweka hizi timu zenye odd ndogo ya nini?France vs Spain............ 28+
Italy vs Netherlands....... x2
China vs Kuwait............. China
Bosnia-herzegov vs Liechtenstein........ Bosnia
Slovakia vs Malta............... slovakia
mnaonaje hapo wakuu?
0-0 umeliwa
any goal after 28+ umekula
any goal below -28 umeliwa
Wale wa meridian online.. Tiketi ikishinda unawekewa hela yako kwa akaunti yko mara baada ya mpira kwisha au inachukua mda gani?
china ameshafungwa goli moja
china 2&1 Kuwaiti
china ameshafungwa goli moja