Mkuu in play nzuri sana kama kuna friendly match. Mimi imenikuzia mtaji sana,nina mda mrefu sijatupia hela kwenye account ya meridian.
Pole sana, nilisema kuhusu watu waliocheza Y/GG wanaweza kuyabinya zaidi bila kujua wanakuharibiaBet Lost
Bet Lost
Bet Lost
Naona bado ziko under 3.5 leo nataka nione nani mchawi
Austia wien anaua leo
Bora Wakusoma alieweka 2+
Buddy kwangu inagoma kufunguka meridian nowPole mkuu Root. Aisee km una muda jaribu "In-Play", kwa ma-stake yako yale utapiga hela mpk utazikimbia ... mark my words.
In play mm hua sijui naomba kuelekezwaPole mkuu Root. Aisee km una muda jaribu "In-Play", kwa ma-stake yako yale utapiga hela mpk utazikimbia ... mark my words.
Buddy kwangu inagoma kufunguka meridian now
In play mm hua sijui naomba kuelekezwa
Wale wote tulioweke under 3.5 , wametoa 1.5 ... 2.5 .....Nawekaga under 4.5 ..mnaionga ... Nakosaga timu 1 mechi 21, Jana baada ya wiki ya majaribio nikapunguza kutoka21 mpaka 15.... Nikakosa mbili.... Kupitia sample space ile ile .... Mostly ya noachagua under 4.5 lazima watoe 1.5.... Juzi nikachanganya under 4.5 na over 1.5 (nilipost bet) ....... Leo nimepumguza kutoka 21 ...15 kwenda 4..... 4.... Na nne hizo za leo zote zimetoa 1.5 (over)...zote zimetoa gg ....zote ziketoa 3+ .... Zote hazijavuka 5.5....... Nionavyo (my take ) 85 % ya matches ni 2+......... Hilo ndio chaguo letu bora 2+
Naomba kuwasilisha...
Huyo midtjyliand kaharibu tayari
Hahahaa...kama nakuona vile ulivyokuwa umeyabinya, tutakufa kwa pressure mwaka huu.Bado dakk8.... Afe yeye au sisi......
near miss zinaniumiza sana Grrrrrrr!!!!!!!!!!!
View attachment 369087