Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo mpk sasa mikeka miwili yote imekaa sawa nasubiri guinea,brazil na italy under 21.
 
Mkeka huu nmeuweka kbs wa w/end ijayo ligi zikianza elf 2 inaweza zalisha laki 6
 

Attachments

  • 1409940068374.jpg
    141.2 KB · Views: 82
Nimekosa 200000 ndani ya dakika 5 kisa nilikuwa nasita sita sana
 
hii option ya one week before unaitafuta vipi meridian? hii nzuri sanaaaaa

Unaenda kwny football zinafunguka nchi unaingia moja baada ya nyingine unachagua mechi unazotaka unaweza kuwake mechi hata za wiki mbili
 
Mm naamini arsnl hawezi kumfunga city hana washqmbuliaji nw...man u atamfunga qpr cz majembe kaleta nw watabadilika

Hiyo mechi yaweza kuwa draw.
Kuna hizi Under 21 Euro qualification zina magoli mengi sana hadi 8-1 timu zinatupia sana kule yaani mimi sasa ni mzee wa over 0.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…