Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kamakawa mzee wa kujilipua leo najilipua game zangu 2. Nampa Angers na sociedad naweka buku 10 nipate buku 27. Simpo simpo tu sikuhizi mikeka mikubwa inakataga stim
 
Game za leo naona kama zitanibaka,maana namuona kama Tottenham ana shinda dhidi ya Man city lakini hapo hapo namuona kama anapoteza..
liverpool nmpa leo kwa kuwa ni chama langu halafu tena kwenye game hii ya watani huwa hafanyi uzembe japokuwa beki yake ina matundu sana.
Man U na Cardiff sina uhakika sana maana man u hawaaminiki ila naweza nikampa,Norwich na Newcastle najua Roic Remmy hatofanya makosa,Crystal Palace na Hull city ngoma ngumu na wala haitabiriki ila kwangu mimi nampa mgeni,Aston Villa na West Brom Benteke kama kawa atanishushia mpunga,Chelsea na Hummers ngoma droo hii,Sunderland na Stoke hapa mgeni anachukua point tatu,Arsenal na SOTON hii nayo droo nyingine....
Nimecvaa mabomu ila kwa atakayeona tofauti na mimi atoe yake wajamaa ili tumtie hasara Muhindi jamani.

"Nlikuwepo":bolt:
 
mkuu kweli game za leo zipo kushoto sana yani game nyeusi ila hapo kwa liva chama lako na evaton nahisi goma litakua droo maana evaton huwa hawajali wapo kwao au ugenini, pote pote wanachafua dimba.
 
Ingia hapa mkuu ili usijute..."Nlikuwepo":bolt:
 
Leo natupa karata yangu hapa
Leicester,newcastle,derby,Leyton.
 
Attachments

  • 1390923387087.jpg
    1390923387087.jpg
    26.9 KB · Views: 171
aisee voda wananzngua siku ya 3 sasa kila nikilipa naambiwa kuna tatizo la kiufundi yaani naumia knoma! Na huku sitimbi hakuna hao premier betting!

du! pole sana sisi huku ipo fresh. Itakua sehemu uliyopo ndo inazingua netwok
 
Back
Top Bottom