Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi mgeni kwenye mkeka nimecheza dau la buku ten vp nikishinda napata bei gani sichacheza handcap manake hata sijui tofauti..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Mi mgeni kwenye mkeka nimecheza dau la buku ten vp nikishinda napata bei gani sichacheza handcap manake hata sijui tofauti..

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

mjomba unajikanyaga umeweka hela then unauliza utapata sh ngap??
 
Wakuu,kuna hizi game za jumanne ambazo baadhi yake naona kama zitakuwa ngumu haswa hii ya Liverpool vs Everton na ile ya Soton vs Arsenal..
Mtazamo wenu wadau maana najiandaa kupiga bet yangu ya kwanza maishani.

"Nlikuwepo":bolt:

hizo game nakushauri weka GG
 
Jana majanga ilikuwa sana. Nimejifinza kitu huu mzunguko wa pil ni mgumu sana tim za chin zinabadlika sana tuwen makin sana. Mkuu wa landbrokers naomba namba ya huyo mtu wa landbrokers nimtumie mpunga
 
Kuchanganya muhimu.
 
Attachments

  • 1390768303518.jpg
    1390768303518.jpg
    42.3 KB · Views: 194
Wazee naomba nijulishe nn maana ya handcap?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Hivi hawa voda wananzngua mimi tu au? Mbona toka juzi nalipa wananambia wanamatatzo ya kiufundi?
 
wazee naomba nijulishe nn maana ya handcap?

Sent from my blackberry 9810 using jamiiforums

hand cap maana yake tofauti ya magoli iwe 2. Mfano 2_0,3_1 nk. Karibu chamani ingawa mikeka inatoboka na kuchanika daily
 
Miaka 1000
 
Attachments

  • 1390831817243.jpg
    1390831817243.jpg
    41.5 KB · Views: 201
Back
Top Bottom