Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ebwana nashukuru sana kuwapata wadau wa mkeka mim pia ni mdau mzuri sana nipo meridian betting. Ningefurah sana kama mech zinazopigwa daily tungekuwa tunadiscus kusaidiana. Kila mmoja akileta hoja zake kwann anadham flan atashinda bas itakuwa rahis kuamua timu gan uzitupie mpunga. Kwa mfano leo kuna game zifuatazo

Athl. Madrd- athltco bilbao 23:00
Fiorentina-siene 23:00
Auxere- dijon 20:30
Cannes-plabennec22:00
Coventry-carlissie utd 22:45

Na nyingne kibao ila hizi chache anayejua atupe maujanja
 
Hivi meridian na premire betting wapi kuna mpunga mzuri?
 
Meridian kuna mpunga sana option ni nying sana. Kwa upande wangu meridian ni easy sana na nimekuwa nikipiga ela mara kwa mara kuliko nilivyokuwa premier
 
meridian kuna mpunga sana option ni nying sana. Kwa upande wangu meridian ni easy sana na nimekuwa nikipiga ela mara kwa mara kuliko nilivyokuwa premier

true. Huwa unapga kwenye website au pale ofisini kwao?
 
naomba kujua mkeka unawekwaje kupitia simu

kama upo voda piga *149*19# then unachagua kuweka dau kawaida au handcap(goal diference inatakiwa iwe 2) then unacheza tena hadi zifike game5(maxmum)
 
Wakuu,kuna hizi game za jumanne ambazo baadhi yake naona kama zitakuwa ngumu haswa hii ya Liverpool vs Everton na ile ya Soton vs Arsenal..
Mtazamo wenu wadau maana najiandaa kupiga bet yangu ya kwanza maishani.

"Nlikuwepo":bolt:
 
arsenal-coventry
mancity-watford
chelsia-stoke city
mgladbach-bayern munich
dortmund-augsburg
real madrid-cranada
barcelona-malaga
napoli-chievo
lazio-juventus
verona hellas-roma
guingamp-psg
monaco-marseille
man u-cardiff
norwich city-newcastle
southpton-arsenal
chelsia-westham
tottenham-man city
liverpoool-everton
xanthi-olympiakos
rangers-arbroath
hibernian-celtic
utabiri jamani nataka kuziwekea mzigo meridian
 
mtazamo wangu arsenal inashinda japo ushindani utakuwa mkubwa..iyo ya livepool vs everton patachimbika ngoma cio ya kitoto mtoto atumwi dukani
 
Wakuu,kuna hizi game za jumanne ambazo baadhi yake naona kama zitakuwa ngumu haswa hii ya Liverpool vs Everton na ile ya Soton vs Arsenal..
Mtazamo wenu wadau maana najiandaa kupiga bet yangu ya kwanza maishani.

"Nlikuwepo":bolt:
mtazamo wangu arsenal inashinda japo ushindani utakuwa mkubwa..iyo ya livepool vs everton patachimbika ngoma cio ya kitoto mtoto atumwi dukani
 
kwa kutumia risiti moja au tofauti?

kwa risiti moja ni game zaidi ya moja na maxmum ni 5. Ila kwa risiti moja kama ni voda ni normal pekeyake na handcap peke yake. Leo nimempa atletco,auxere na fiorentina.
 
Back
Top Bottom