Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebwana nashukuru sana kuwapata wadau wa mkeka mim pia ni mdau mzuri sana nipo meridian betting. Ningefurah sana kama mech zinazopigwa daily tungekuwa tunadiscus kusaidiana. Kila mmoja akileta hoja zake kwann anadham flan atashinda bas itakuwa rahis kuamua timu gan uzitupie mpunga. Kwa mfano leo kuna game zifuatazo
Athl. Madrd- athltco bilbao 23:00
Fiorentina-siene 23:00
Auxere- dijon 20:30
Cannes-plabennec22:00
Coventry-carlissie utd 22:45
Na nyingne kibao ila hizi chache anayejua atupe maujanja
meridian kuna mpunga sana option ni nying sana. Kwa upande wangu meridian ni easy sana na nimekuwa nikipiga ela mara kwa mara kuliko nilivyokuwa premier
naomba kujua mkeka unawekwaje kupitia simu
ac milan na p.s.g ni shida! Majanga yanaendelea!
ebwana online napiga web yao www.meridian bet.co.tz
yap m 5 kumbe unawapata vizur tu.
kama upo voda piga *149*19# then unachagua kuweka dau kawaida au handcap(goal diference inatakiwa iwe 2) then unacheza tena hadi zifike game5(maxmum)
mtazamo wangu arsenal inashinda japo ushindani utakuwa mkubwa..iyo ya livepool vs everton patachimbika ngoma cio ya kitoto mtoto atumwi dukaniWakuu,kuna hizi game za jumanne ambazo baadhi yake naona kama zitakuwa ngumu haswa hii ya Liverpool vs Everton na ile ya Soton vs Arsenal..
Mtazamo wenu wadau maana najiandaa kupiga bet yangu ya kwanza maishani.
"Nlikuwepo":bolt:
kwa kutumia risiti moja au tofauti?
mtazamo wangu arsenal inashinda japo ushindani utakuwa mkubwa..iyo ya livepool vs everton patachimbika ngoma cio ya kitoto mtoto atumwi dukani