Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hi9yo mechi yaweza kuwa draw.
Kuna hizi Under 21 Euro qualification zina magoli mengi sana hadi 8-1 timu zinatupia sana kule yaani mimi sasa ni mzee wa over 0.5

hapo unasubiria hadi half time odds zipande ka tokeo likiwa 0-0?
 
Halafu hawa meridian wametuwekea lugha gani hii.? Mbona siielewielewi.? Au ni kwangu tuu.?
 
Leo wikiend itaenda vizuri nashukulu sana
south Africa
guinea
Senegal
Italy U 21
Sweden U 21
Germany U 21
khazakstan
 
Jana nimekula mkeka mmoja wa 120000..nusu ya hiyo naingiza kwny mechi za leo
 
wakuu, mkeka wangu umekaa njema kabisa, nilimpa Brazil win na kashinda kweli ila ticket bado inaonekana open na hakuna changes kua Brazil kashinda,
 
Hvi C.E.O kakimbilia wapi?? Inabidi tumchangue deputy, we need our whatsapp group
 
Hilo Whatsapp group litatunyima raha tusio na whatsapp.
Nashauri tubakie hapahapa kama zamani. Hapa watu wanataka ingia betting wanapitia hapa huko whatsapp nina hakika mambo hayatakuwa poa kama ilivyo hapa
 
Ht mie nimeipenda online betting ya meridian siunguz naul nacheza geto na mzgo on the sport unaingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…