Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaha...mie meridian nilitoa 40,000/= jana, usiku naangalia 20,000/= imerudishwa kwenye account na 20,000/= nyengine haipo kwenye reserved na wala haijaingia M Pesa, washenzi sana.
wanazingua hata mimi nikitoa ea inarudi kwene a/c.
 
nimeanza na Australia kwanza wakitoa then ntahamia kwa wachina mdogo mdogo
FNQ HEAT HT1+,ROVERS HT1+,HUME GOAL IN BOTH HALVES,BLACKTON GOAL IN BOTH HALVES hapo sijachagua timu option ni yoyote tu yule odd ni zaidi ya 2.5
 
2+ au 3+ kwa wote watatoa bila shaka !! ... kwenye hiyo FA Cup yao hao wachina wanafungana sn. Uliona jana Beijing Guoan 1-2 Guanzhou Evergrande.
Yah ni kweli mkuu ngoja nkitupia hata buku kwenye 3+
 
Sitaki hata kuuscreen shot wala kuingia meridian..... Kilichonikuta ni sawa na kunya sokoni mchana kweupeeeee na kuku wanakuangalia........ Tugange yajayo.....
Pole mkuu waangalie wachina saa nane na wa Australia wa saa 6 kuna ujiko hapo
 
***** ck ukicheza magoli watu hawafungani ck ukicheza wasifungane ndio balaaa migoli hiyoooooooooooooo .. august 13 loading turud kwenye ligi tunazozielewa
tunasubiri kwa ham sana......
 
Naomba mnielekeze jinsi ya kuweka pesa mkekabeti kwa tigo pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…