mmh nimeata mfuasi.. angalau tuko wawili..Humecity half time win
Odd 1.95
Stake 500000
Bet lostHumecity half time win
Odd 1.95
Stake 500000
Kwako ndio mgumu kuna watu wanateleza na beat mwanzo mwisho..Hii kazi ya kubet ni ngumu sawa kabisa na kuponda kokoto au kuli wa kupakua mizigo bandarini
Niliwatumia e-mail Premierbet kuhusiana na issue ya "Error, bet cannot be placed ..." wamenijibu ...
View attachment 371799
Hata wakusoma shughuli anaifahamu, labda kwako ndiyo rahisiKwako ndio mgumu kuna watu wanateleza na beat mwanzo mwisho..
Cc Wakusoma
Hii kazi ya kubet ni ngumu sawa kabisa na kuponda kokoto au kuli wa kupakua mizigo bandarini
Hawa jamaa hawa!!! Mi nimepata shida sana kweny kuweka Bet....Yaan kuweka Bet kwenyewe ni kuBet tayaari..hhahahahhahahaahahahaahahahhahahah...Premier wameanza kutuchosha...
Hata kwangu mzigo mgumu kwa sasa niko likizo kama nina 40% ya Win na 60% ya Lost ni hatari ngoja nikajipange nduguHata wakusoma shughuli anaifahamu, labda kwako ndiyo rahisi
Sasa hv premier fresh mbonawadau mkeka bet tangu waje na muonekano wao mpya sijatupia kabisa. Kima chao cha juu kucheza sh ngapi jamani. Maana hawa premier washanichosha. Yan nimekumbuka kuna laki yangu hawajarudisha wiki ya pili sasa. Bora nirudi mkeka tu. Maana juz kati nimesuka nondo zangu za ukweli et bet error mwisho wasiku wanakutoa kwenye reli hivi.
Humecity half time win
Odd 1.95
Stake 500000
unaonaje tukiweka time of first goal 28+Celtic Tukimpa HANDCAP ataWIN
oyo hii option pasua kichwa sanaunaonaje tukiweka time of first goal 28+