hahahaha aiseee wachina wanafanya yao huku kweli huu mchezo hauhitaji hasira
Hume city n.a. Hummel dah grrrrrrrShanghai Shenhua kazingua duuuh ... goli kapata dk ya 9 halafu game ikasimama na goli hilo hilo dk 90 ... heheheheh, kaazi kwl kwl. Wengine fresh, wametoa 3+
Hapana kaka hamna anayeteleza huu ni ubashieo, si umeona leo nepigwa kilo 5?Kwako ndio mgumu kuna watu wanateleza na beat mwanzo mwisho..
Cc Wakusoma
Dont try thisAstana Draw FIRST HALF...
ODDS 1.86
Hume sio wa kukosa Goli kabisa 90'Hapana kaka hamna anayeteleza huu ni ubashieo, si umeona leo nepigwa kilo 5?
astana yupo vizur sana kuliko CelticDont try this
astana tayar goli moja.Astana Draw FIRST HALF...
ODDS 1.86
Yea una clear BET SLIP nakuanza kisha una place a BET faster before odd hazija change, Nilikuja kugundua nowdays odd ziki change tu while ulishachagua uki place BET inaleta iyo errorOK mkuu, kwa hiyo solution yake ni ku-cancel mkeka na kuanza upya au?
Yea una clear BET SLIP nakuanza kisha una place a BET faster before odd hazija change, Nilikuja kugundua nowdays odd ziki change tu while ulishachagua uki place BET inaleta iyo errorhii error unaitoa vipi?
Tangia mkekabet waweke muonekano mpya nashindwa kuongeza pesa kwa accnt kwa kutumia sim ata procedures sizioni tena
Nijuzeni wadau m betting wananifilisi mwenzenu.
Mwanzon kulikua na optionKwan mwanzo Ulikuwa unafuata procedure zipi??
Procedure ni zile zile
Yea una clear BET SLIP nakuanza kisha una place a BET faster before odd hazija change, Nilikuja kugundua nowdays odd ziki change tu while ulishachagua uki place BET inaleta iyo error