Nimewatumia email saa 4 asubuh nikawaambia nahama kampuni wameniomba wakasema wanalishughulikia then wamekuja nitumia email kuwa tatizo limekuja solved nimeingia nimefanya yangu mambo ni fresh sasa mkuu.Wanasema lile ttzo la "Error, cannot place bet ..." wameshalitatua. Ngoja nitajaribu kutupia mkeka huko baadae.
Mkekabet ni shiiiida hata hawaeleweki wataisoma namba mm hawanipati tena
Daaaaah, asante Monaco. Ngoja nitengeneze kokolo la 10k lilete m2 nijifurahishe tu.Mechi za kujitoa kafara ni nyingi leo. Kama unapesa ww tulia tu. Hawa wachina tupieni stake za kawaida tu mwisho 50k. Ila someni mechi ya Zamalek, Zesco na Monaco. hapo kuna Y zitatokea.
Wamewafwata ndugu zao M bet analog.Kifupi walikuwa vzr before kuliko walivyo sasa. Awali ilikuwa ni rahisi kujua ipi umeshinda na ipi umelose. It's a horrendous upgrade I would say. Waturudishie mkekabet yetu ya awali ... Kwanza walikuwa na rangi moja ya blue ilikuwa inapendeza zaidi.
tupie tuokote okoteDaaaaah, asante Monaco. Ngoja nitengeneze kokolo la 10k lilete m2 nijifurahishe tu.
Njoo meridian fasterWakuu tatizo nlilonalo premer ni Nikicheza inplay nkisubmit mkeka unaload tuu haulipiki hata nikiaccep all odd au higher odd wapi haulipiki.
Meridian nina A/c kitambo tuu ila naumiaga kwa kusuasua toka walivyokuwa wanazinguazingua nikaanza kubase premer naona nao vimeo sasNjoo meridian faster
Meridian nina A/c kitambo tuu ila naumiaga kwa kusuasua toka walivyokuwa wanazinguazingua nikaanza kubase premer naona nao vimeo sas
ngoja nikufuate mkuu@buddy
pamoja mkuu ngja tupambane na kanjiPamoja mkuu ... jaribu kuwaondoa unaoona wanaweza kuwa wachawi. Mimi nachambua 3 kutoka hapo niweke mzigo wa maaana.
Jinsi ya kucheki tiketi/bet slip kwenye mkekabetting
Tumia browser ilio kuja na simu Kisha nenda sehemu ya option
Weka tiki sehemu ya #request #desktop site
Kisha ingiza website www.mkekabet.com
Itafunguka kwa version ya computer fungua sehem ya Profile kisha utaona option unazo hitaj kama bet history, payment history, withdraw etc.
Buddy nime jaribu kucheki kweny iphone 4s both safari and operamini zote zina fail nahisi safari ya kwenye sim hai ruhusu option za desktop labda ujaribu ku download chrome itaweza kukusaidiaMimi natumia browser ya Safari (iPhone) ... ukiandika www.mkekabet.com inaji-redirect automatically kwenda kwenye mobile version, yani Mkekabet GSM Sportsbook Betting ... kila nikifuta na kuandika www.mkekabet.com bado inarudi kwenye mobile version na sio desktop version hapo inakuwaje?
mkali wa magoli hao jamaa unawaambia nini kwa hizo predictions zao?Premierbet mbona saiv wako vzr tu. Nimetupia muda si mrefu.