Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Buddy nime jaribu kucheki kweny iphone 4s both safari and operamini zote zina fail nahisi safari ya kwenye sim hai ruhusu option za desktop labda ujaribu ku download chrome itaweza kukusaidia

ok Chief ...
 
mkali wa magoli hao jamaa unawaambia nini kwa hizo predictions zao?

hali imeshakua tete inabidi sasa tu kopi na kupesti tu nipe maoni kabla sijatia mzgo

Hahahah, eti mkali wa magoli.

Hapo kwa 3+ nakubaliana na ...

Rapin Vienna
Mlada Boleslav

Ila kuna wengine hawajawekwa, naona watatoa 3+ ...

Osmanlispor
AZ Alkmaar
 
sio 90, dakika ya 95 ... mi nliwapa 2+ nlikuwa nmeshakata tamaa. Mpira unadunda
Mi niliweka 1k both gg
Nikaona kimya nikaenda in play niliweka 50 draw kufika dk ya 7x nikashangaa city anapata gori daaah nikazima Siku nikachanganyikiwa kabisa nikalala duu nafungua nakuta 220k
Ndo mpira
 
BIG UP Chief ...
 
Genk
Gent
Az
Sasuol
Maccabiv
Dainamo misk
Mlada
Sevilla
Arsenal

Half time over 0.5

Mkuu umeshashinda huu mkeka, subiri hela tu au andaa mkeka mwingine, hela ikiingia unaweka stake tu.
 
Wadau si mnajua tena msimu wa vitunguu huu. Mm nimekufa na Y ya Luzern na Sassuolo, sijawachambua hao wengine.
Odd 2.1
Stake 300k.
RAT 610
 
Daaah, uwoga ndio unatunyima hela kila siku. Trakai alipewa Y 2.3 tayari washatupiana. nasitasita weee hadi mechi imeanza.
 
Daaah, uwoga ndio unatunyima hela kila siku. Trakai alipewa Y 2.3 tayari washatupiana. nasitasita weee hadi mechi imeanza.
hhahahha huwenda ungetia mzigo matokeo yangekua vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…