Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Umeniwahi Buddy. 300k sio haba kwa siku. Ngoja niisome mechi arsenal nione Y yake inangapi niweke hata 50k yakulalia, nikipata hata 30k faida hiyo ni mazagazaga ya jikoni tu kesho.
Bg up mkuu
 
Jana nmelost leo nmetoka hiv

Spurs Y
Beijing Y

Saa saba na saa nane
 
Meridianbet wame-improve kinoma noma kwenye suala la ku-Withdraw !!!

Jana nime-withdraw 110K saa moja na nusu usiku, halafu nika-withdraw tena 100K saa tatu usiku .. hadi kufikia saa 7 na robo usiku huo huo miamala yote ikathibitishwa m-pesa. Kwa hili nawapa HONGERA sn.
 
Wako vizuri nimewithdraw jana saa 5 usiku 100k saa 9 usiku mzo umeingia
 
Leo naona kuna waastralia ila wale option nzuri ni over 0.5 ht timu 2 tu
 
Siku nyingi sijatembelea Mkekabet, ngoja leo niichangamshe account yangu kidogo.
 
Wako vizuri nimewithdraw jana saa 5 usiku 100k saa 9 usiku mzo umeingia
Hahaaaahaaaaa...... Hata Mimi Jana nimeweka 5000 nkatoa 4000 fasta ikaingia.... Maana unaweza ukawa unafanya kazi ya kuweka tu .... Walau na Mimi nimetoa..... Hata kama ni yangu ....Mradi nimetoa nimeridhika .... Nairudisha tena afu Natoa tena.....
 
Hahahahahahaa umenichekesha sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…