Watu walisema hivyo tokea mda ..wanabonus bila limits? Na codes kushare?tuhamieni premier bet...........wana bonus kama betpawa
hawana option ya kushare codeWatu walisema hivyo tokea mda ..wanabonus bila limits? Na codes kushare?
Aaah bac...afu nimejaribu kutengeneza mkeka naona hamna hata bonus au kwa sababu sijatengeneza account? Yaani naona wamechukua odds multiply by stake bac ndo winninghawana option ya kushare code
Ila nimeona sehemu ya kuandika codehawana option ya kushare code
Mkuu mbona code huwa naleta? Wadau huwa sileti code humu nalipia hadi VIP? mfano, leo nimeleta CODE 3 humu, ya kwanza imetiki tayari, ya pili imebaki mechi moja, je umeshinda tayari?Nashangaa yaani...humu ndani watu wanashinda kila wiki ila codes hawaleti afu wanachukua tu za watu
Chief unatususa kwenye 🏀🏀 upande wa sportybet fanya jambo tupate codeCoco master... Mr Cocktail 🏀⚽
5YV7L
888stars
Pole mkuu, team nyingi za Asia haziko serious me Asia, Romania, Latvia, Russia, Ukraine, Croatia, Israel Slovenia, Wales na Switzerland kubetia team zao bora nibetie Namungo. Hawako serious hata kidogo.Kubet ni USENGE. Siku ikikuendea vibaya utatamani UFE. Hata double chance imegoma aisee!
View attachment 2833270
Wamepigwa kadi ya pili ili nikose kabisa. Na hawa mbwa wameongeza dakika 20 za nini? Huku Asia sitakuja kurogwa nikabet huku siku nyingine.
View attachment 2833272
1st CODE [emoji736][emoji736]103D548 - 1.73 ODDS BETPAWA.
CC96BE3 - 1.53 ODDS BETPAWA.
DE428D4 - 2.4 ODDS BETPAWA
IWE HERI KWETU SOTE!View attachment 2832633
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Chakata kitu hiyooIla nimeona sehemu ya kuandika code
Wewe ni mnene unahitaji kupungua? au vidonda vya tumbo sababu ya stress, pamoja na kukosa hamu ya ngono?Nifundisheni kubet
Wewe ni mnene unahitaji kupungua? au vidonda vya tumbo sababu ya stress, pamoja na kukosa hamu ya ngono?
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Unatakiwa upate darasa private. Upo wapi?Nifundisheni kubet
Asante mkuu. Yaani haya matimu ya AFC hamna kitu kabisa aisee. Najuta kwanini niliyaweka kwenye mkeka wangu. Leo mingelala na pesa.Pole mkuu, team nyingi za Asia haziko serious me Asia, Romania, Latvia, Russia, Ukraine, Croatia, Israel Slovenia, Wales na Switzerland kubetia team zao bora nibetie Namungo. Hawako serious hata kidogo.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Mimi wiki hii yote ni gundu tupu. Matimu ya AFC yametoka kuchana sasa hivi na Midtylland naye anachana. Ngoja nikalale kesho nayo ni siku.Midtjylland ndo anataka kualibu shughuli na kabaki yeye tu
KWANZA umekosea masharti ya humuNifundisheni kubet