Matimu yamecheza mechi mfululizo wafungaji wamechoka mkuu. Hiki ni kipindi cha kuweka under 3.5 na under 4.5Man City Leo anashindwa kutoka goli hat moja wakuuu
View attachment 2835448
Feel free to edit upate mechi zako chache hizi ni code za Sportybet
WEKA uone half time over 3Matimu yamecheza mechi mfululizo wafungaji wamechoka mkuu. Hiki ni kipindi cha kuweka under 3.5 na under 4.5
Kaka naomba nikumbuke kwenye ufalme wako mkuu ni tagDeal done
View attachment 2835336
Mwendo ni uleule ndugu wazee. Kwenye cups wanacheza watoto, hivyo hawana uwezo wa kufunga magoli mengi. Kazi iendelee!
Hii ndoa betting nayojua mimi, kuna kuaga na someone, somewhere huwa na matokeo sahihi na ya tofauti na wengi wao...na atapiga hela, tatizo la humu wengi wao hufanana kwenye kuweka mikeka na hata code zao zinafanana ndoa maana timu zikizingua basi codes za humu zote zinaondoka na kijiji kwasababu zinafanana, unakuta timu kadhaa zipo kwenye codes zote na zina option inayofanana, ikichana tu basi ujue mikeka yote uikuti kwenye open bets 😆Xmass imekuja mapemaView attachment 2835406
Joanah kimekuchekesha nini?707D76C sporty
Yapo matreni machache betpawa tunaendeleaHakuna treni iliyofika kigoma
kama leo girona akipigwa kimojaa chaliii 😀 😀 😀 😀Kuna muda kutokana na majukumu unakuta mtu una copy codes tu na kuweka pesa bila hata kuzichambua, nilikua na matreni kibao niliyatoa huku..... Leo nacheki nakuta hamna open bet, kuangalia yameanguka vipi, guess what? Kijiji kizima kilimuamini man city... Mpaka nikaishia kucheka
Ndio ushangae sasa na wewe Mkuu. Maana hiki nilichoandika humu ndicho ninachokifanya na kinanipa faida, so nina experiance nacho. Halafu kuna mtu anakuja na idea eti tren la team 20 au 50 ni rahisi kushinda kuliko team 1-3 kwenye zenye odds 1.5 - 3 serious? Yaani maana yake ni kusema wenye matreni humu wanakula kila siku kuliko wewe, maana huwa naona unacheza odds ndogo na mostly zinawin. Sio kwa ubaya, kila mtu aendelee kuamini instinct zake.Mkuu Hakunaga 100% sure bet.... HAIPO
Lakini pia betting ni PROBABILITY....... we pick mostly like to happens(Ilikua ni ngumu kumeza jana kumuua Man C na kustake high)...
Na kwakuwa betting ni probability maana yake ni kwamba it’s more likely kuotea matokea ya game moja kuliko kuotea matokeo ya game 50
Numbers don’t lie
Bookies wanapoteza hela nyingi sana kulipa punters kwenye single bet na mikeka mifupi sana na wanatengeneza hela ndefu sana kwenye matreni.......Bookies sio wajinga kutoa BONUS hadi asilimia 500 ili kukushawishi ujaze game kibao kwa mkeka(wanajua probability ya kupatia game nyingi ni almost 0%)
Si maanishi kwamba haiwezekani kushinda treni..... but what a chances?
Dont fall na drama za wanaijeria X wanao win odd 500+ daily [emoji23][emoji23]