Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watu wengi wanaamini katika kulala masikini na kuamka tajiri, mfano mdogo tu, ukiweka treni la timu 20 na ukabeti kwenye market yenye matokeo matatu, kama kushinda, sare na kushindwa. mkeka huo utakuna na chances billioni 3 na millioni mia nne na malaki yake kibao. katika hizo chances zote hizo yako ya kuwin ni moja tu, hizo zilizobaki zote ni za kanjibai.

simple mathematics.
 
Huwa nikichukua code yoyote ya mtu humu.... Ninapoifungua..... Nikikuta mtu kaweka option ya HOME or AWAY.!...

Naachana kabisa na hiyo code!... Hata ingekuwa nzuri namna gani...
Unaelewa kwanini!?..

Amesort kwa kutumia hisia.. na hiyo ya Home or away..

Hisia zimeishia hapo....ama uwezo wa kufikiri!....

Anaamua liwalo na liwe!....

Then mechi inaisha 1- 1

Anabaki kujitukana! Mwenyewe

Ni option moja ya kitaahira sana!.... Sitaki hata kuisikia!
 
Hakuna option ya kitaahira mkuu. Tuseme tu ni bahati.. Hakuna hata option unaweza iamini kwenye betting. Otherwise mikeka ya won ingekuwa Mingi Sana hukuuu. Hata wewe unaweza ukawa hutumii hisia but bado kutoboa shughuli. Kabla mechi haijacheza option zote Ni sahihi.
 
Mkuu wewe unaweza ukasuka treni ukaiua Man City? Hii ni ajali tu kwenye betting. Jana Aston villa kamfunga City lakini utakuja kushangaa Villa anachezea goli hata 4 kwa Arsenal.

Kwa hiyo tunabaki pale pale huu ni mchezo wa kubahatisha.
 
Mkuu wewe unaweza ukasuka treni ukaiua Man City? Hii ni ajali tu kwenye betting. Jana Aston villa kamfunga City lakini utakuja kushangaa Villa anachezea goli hata 4 kwa Arsenal.

Kwa hiyo tunabaki pale pale huu ni mchezo wa kubahatisha.
Mi man city hakuniua maana nilimpa handcap ha goals 2. Aliyenimaliza jana ni Copenhagen aiseee. ila all in alk twendelee kujifunza
 
Wanampigaga mshindo mechi nyingi wanacheza direct win Mzee
All in all huu ni ubashiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…