Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapo nakuunga mkono ila kwenye mechi ya mashujaa naona tumpe Prison afunge goli moja yeye mwenyewe maana nafatilia ligi prison ni ngumu kushindwa kumfunga mashujaa hata goli moja japo mpira unadunda
 
Codes nyingi humu timu ni zile zile ,unakuta timu moja au tatu zinachana mikeka yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa...lakin pia shida sio kuwa na timu zilezile lakin unakuta option zinafanana pia...kwasabab timu kama haijakupa direct win basi inaweza kupa corner ama GG ama ipate tu goal ama card ama ushindi wa half ama option yoyote ile...

Nashauri wanao copy wajaribu na ku edit kidogo akiona timu nyingi zinaingiliana kwenye mikeka yake
 
Hapo nakuunga mkono ila kwenye mechi ya mashujaa naona tumpe Prison afunge goli moja yeye mwenyewe maana nafatilia ligi prison ni ngumu kushindwa kumfunga mashujaa hata goli moja japo mpira unadunda
Safi Mdau,
Sote mawazo yetu yametimia
KITAYOSE over 0.5 imetoa
PRISONs vs Mashujaa over 1.2 imetoa na over 0.5 to Prison imetoa maana kamla mtu 2 bila

BADO Mechi ya YANGA tupate supuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…