Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sasa mkuu pesa gani hiyo bhnaaa, mm nafukuzia million mia na ipo siku atanasa tu acha aendelee kuniumiza
 
Ulaya msimu wa baridi

Ni mechi chache sana zinatoa over 3.5
Lakini hii ni betting yaani unaweza weka under 3.5
Wajinga wakafungana 2-2 au zaidi

Mimi kuanzia leo ni mwendo wa under 3.5 baadhi ya mechi

Betting sio bahati tu , hardwork (uchambuzi) halafu bahati inafuata baadae

Kama betting ni bahati tu, tungekuwa tunaingia katika website au app za makampuni husika halafu tunaweka option yoyote si bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…