Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

🤣🤣🤣🤣 Daaaaa ila hili jukwaaaa...!
 
⚽ Saturday Betting Tips ⚽

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Crystal Palace 🆚 Liverpool FC
🕑 Saturday, 09.12.2023
🚨 Prediction: 2️⃣

🇩🇪 Frankfurt 🆚 Bayern Munich
🕑 Saturday, 09.12.2023
🚨 Prediction: 2️⃣ over 2.5 goals

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Brighton & Hove Albion 🆚 Burnley FC
🕑 Saturday, 09.12.2023
🚨 Prediction: 1️⃣

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Manchester United 🆚 AFC Bournemouth
🕑 Saturday, 09.12.2023
🚨 Prediction: 1️⃣ (DNB)

🇪🇸 Betis Sevilla 🆚 Real Madrid
🕑 Saturday, 09.12.2023
🚨 Prediction: 2️⃣ & Madrid score first

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Aston Villa 🆚 Arsenal FC
🕑 Saturday, 09.12.2023
🚨 Prediction: 2️⃣ & BTTS YES

🇮🇹 Inter Milan 🆚 Udinese
🕑 Saturday, 09.12.2023
🚨 Prediction: 1️⃣

🇫🇷 Paris Saint-Germain 🆚 FC Nantes
🕑 Saturday, 09.12.2023
🚨 Prediction: 1️⃣ & BTTS NO

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
 
Acheni magazeti bana ..leteni code leo weekend. Ushauri tulishashauriwa kabla ya kujiunga huku kwamba tusijiunge but vichwa vikawa vigumu tukajiunga, Sasa wacha tuisome namba..Kama kufa na kanji tufee, nyie tumeni codes.
 
Utadindishaje wakati walimu washakuloga kwa vile unawanyanyasaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
vita vya kanjii na sisi ni endless
kanji afe au sisi tufe
 
Mi kila siku nasema afu bado naona mnaendelea na betpawa...betpawa hamna hela siku hizi..majizi tu hayo
 
Mimi nilishafuta kila kitu cha betpawa kuna siku nilikwamia safarini wiki nimewin mkeka nakumbuka ilikua jumamosi walikuja kulipa ijumaa nilichukia sana ila wao ukirose mda huohuo wanachukua hela yako

sijui wao hawajui kwamba mtu anaweza akabet mazingira ya safari akachukua hela zote akazibetia mechi ya uhakika .....mmm basi bwana
 
Daah aisee nimempa sydney ashinde either win alafu kuna muhuni mmoja kala umeme mapema tu hapa ndio huwa nachoka kabisa..siku imeharibika mapema xana simba nae akipigwa na wydad leo hakika ntakua na siku mbaya sana
Siku ishakuwa mbaya mkuu, sioni simba akipata matokeo mbele ya wydad, ngoja nimuue kwanza simba
 
Daah aisee nimempa sydney ashinde either win alafu kuna muhuni mmoja kala umeme mapema tu hapa ndio huwa nachoka kabisa..siku imeharibika mapema xana simba nae akipigwa na wydad leo hakika ntakua na siku mbaya sana
kiuhalisia kumpa simba ashinde dhidi ya wydad ni kupoteza pesa yako. Mimi ni Simba ila hiyo mechi kutoboa ni 5% tu.
wydad hafanyi vizuri, lakini sisi ndio unga kabisa .. Baada ya kupoteza mechi mbili mwarabu hatakuja kinyonge kitakachosaidia hapo ni mbinu za kocha lakini si ubora wetu
 
Mi mwenyewe mnyama dam dam ila nimemuua pumbafff zao timu letu bovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…