Liva asanteee dah
Hii kauli yangu itadumuKama una laki mpe Liverpool ana point saba saizi, niamni mm come back Kwa dk zilizobaki ipo na zaidi ya goli mbili
Kweli niliangalia tofautiHamna code
Hamna ubabe wowote mzee isingekuwa red hali ingekuwa mbayaLiver kafanya comeback moja ya kibabe
👍Wachambuzi wanamsifia hapa anaongoza kwa kupata point nying baada ya kua kwenye losing position acha tuone
Sipingi mzeeHamna ubabe wowote mzee isingekuwa red hali ingekuwa mbaya
Liverpool Acha upumbavu wakooo Shenztaiga
Mikeka sita yote umenifanya nirebet nimuwahi Bayern.Buku 16 nyingine zimenitoka
Sasa ninamikeka 12,ahhhh
Halafu nyie SIMBA na YANGA huyu SANkARA KARAMOKO wa Asec Mimosas hammuoni?
Asec kama wanafanya mazoezi kwa Jwaneng Galaxy,Simba kazi
Asec keshapita huyo leo anaandikisha 7pts anawapiga Jwaneng Abdijan inakuwa 10pts hata simba tunapigwa abdidija tukikoswa sare ana uhakika wa 11 pts huyoLiverpool Acha upumbavu wakooo Shenztaiga
Mikeka sita yote umenifanya nirebet nimuwahi Bayern.Buku 16 nyingine zimenitoka
Sasa ninamikeka 12,ahhhh
Halafu nyie SIMBA na YANGA huyu SANkARA KARAMOKO wa Asec Mimosas hammuoni?
Asec kama wanafanya mazoezi kwa Jwaneng Galaxy,Simba kazi ipo.