Hii jwanneng ni mbovu sanaLiverpool Acha upumbavu wakooo Shenztaiga
Mikeka sita yote umenifanya nirebet nimuwahi Bayern.Buku 16 nyingine zimenitoka
Sasa ninamikeka 12,ahhhh
Halafu nyie SIMBA na YANGA huyu SANkARA KARAMOKO wa Asec Mimosas hammuoni?
Asec kama wanafanya mazoezi kwa Jwaneng Galaxy,Simba kazi ipo.
Katika league ambazo zinafurahisha kutazama Kabumbu basi ni Bundesliga , kasi mwanzo mwisho, hakuna mtu ana mpango wa kupaki basi yaani njoo nije zamani walikuwa wanatuaminisha Bundes ni ligi ya kibabe mno lakini bwana tangu nimeanza kuifatilia aisee ni ligi tamu sana na kwa sisi maafisa ubashiri goli 1 au mbili lazima wakupe BTS KAMA NYUMBANI KWAONipo naangalia mechi ya Bayern hapa duu hawa watoto wa Frankfurt wanatandaza mpira hatari wale tuliompa Bayern leo tujiandae kisaikolojia sijui kama atachomoka leo
kiuhalisia kumpa simba ashinde dhidi ya wydad ni kupoteza pesa yako. Mimi ni Simba ila hiyo mechi kutoboa ni 5% tu.
wydad hafanyi vizuri, lakini sisi ndio unga kabisa .. Baada ya kupoteza mechi mbili mwarabu hatakuja
kinyonge kitakachosaidia hapo ni mbinu za kocha lakini si ubora wetu
Ya kukosa 9mUNADHANI NI KIPI KINAUMA SANA KATI YA HIVI?
1.Umeweka Mkeka wa Timu 20 ambao ukishinda zote unapiga Milioni 10,Zikashinda 18 ukaambiwa U-Cash Out Milioni 9 ukaacha ukajipa moyo timu 2 zilizobaki haziwezi kuchana,mwisho wa siku zikachana na ukakosa hata ile milioni 9.
2.Umeweka Mkeka wa Timu 20 ambao ukishinda unapiga milioni 50,Timu 18 zimeshinda na zikabaki zimu 2,ukaambiwa U-Cash out kwenye hizo timu 18 ambayo ulikuwa unapiga 1.5 milioni,sasa baada ya zile gemu 2 ni kama ukawa uelewi hatimaye ukakeshi out,mwisho wa siku nazo zinashinda na wewe umekwisha kukeshi out!
Kipi hapa kinauma?🤣
Bora wewe umeenda kwenye CardKwa wanaoangalia game ya bayern, itatoa kadi tatu kweli?
Mbona hujasema kabla ya MechiHao frankfurt siku zote na mechi yoyote wape wafunge goli tu hawachanagi
Niliona bora card aise maana bayern kichomi sanaBora wewe umeenda kwenye Card
Bayern munich anapelekewa moto balaa.
Card Moja Tayari na Cards nyingi huwa second half.
Sasa BADO card 2 tu,hii inaenda kutoa
Siku imeanza vibaya. Ngoja kwanza tusome upepo. Nani kanituma niwaweke hawa mbweha kwenye mkeka wangu? Ngoja nikarenew kabla mechi hazijaisha.Bahati ya Liverpool one Tena kwa Bayern mhhh sijui.
Kadi tatu uhakika inatoa maana Bayern wanapelekewa moto tena kwa kasi ya ajabu lazima Wakojolewe tena na wafanye madhambiKwa wanaoangalia game ya bayern, itatoa kadi tatu kweli?
Asante kwa taarifa mkuu. Ngoja nika renewBayern kawekwa chuma ya pili,na kwa mpira wanaocheza hawa frankfurt kama bayern asipokuwa makini yatamkuta makubwa sana maana hawa jamaa wanatumia makosa ya bayern kuwaadhibu
Nilisha taja team za kubetia msim huu ktk uzi huu ww pia comment za mwez huu utaona. Nilisema frankfurt mbetie afunge goli popote utakapo mkutaMbona hujasema kabla ya Mechi