Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Walitaka kunichukulia poa 🎶🎵
Kumbe mi mwenyewe mtoto wa town,🎵🎶
Mara ohh nakupenda ntakuoa 🎵
Kashaniona boya kutwa kunipiga sound
 
Mimi live alipigwa goli nikacheza live mkeka wa kwanza nikaweka 50k nashinda 90
Nimekaa dak zinaendda odd zikapanda nikaweka tena 100k apaate goli mbili nashinda 300 na ushee
Dak ya 90 wako 1-1 nikacash out mkeka mmoja nikarudisha 100k niliyobet si wakapiga cha pili so nimeshinda ule mdogo wa 90
Nimekuja bayern kapigwa 3 nikampa apate goli mbili imelala yooo sahiz nataman kumpa man u apate goli ila naogopa
 
Mi nasemaga hamna mtu Ashawahi kushinda jmoc...ni siku ambayo Ina match nyingi lakini Kuna mkubwa mmoja wa kila ligi lazma afe achane mikeka...😂hivi imagine leo Bayern kapigwa 5 man u 4, Brentford kafungwa na Sheffield, Brighton draw, Madrid draw, hivi unaponea wapi..bado wahuni wa ufaransa na Portugal hawajatukosha usiku..kila siku mkeka unachanwa na timu moja
 
Ukiwa na mtaji ukaanzisha kampuni ya betting na ukapata wateja wa uhakika yaani ni kwenda kutafuta kisiwa unajichimbia ni mwendo wa kupiga pisi namba E tu yaani chuchu konzi

Maisha yanakua uhakika, Leo Hawa jamaa wanaingiza billions of money kiulaini kabisa

Ila na sisi wakamaria hatuna umoja, kanji akitupiga tunatulia, tukimpiga ye hata siku Moja eti anaondoa na bonus afu anapunguza na options, sisi kama makondoo bado tunabet tu huku majamaa Kila siku yanajiboreshea mazingira ya kutupiga za uso... Tunakula kama watumia unga bana... Naamini hata kampuni zote siku wakifuta option zote wakaacha direct win tu watu wataendelea kubet tu maana ishakua uraibu huu....

Wajinga kama betpawa ilipaswa watu wapige mgomo warudishe bonus au warudi Delhi kulima pilipili... Imagine unampa Bayern double chance odds 1.04 au Bournemouth win to nil unaweka no odds 1.02 bado kanji anapiga kwenye mshono afu wanatuletea masharti kibao
 
😂Jamani tunaanza mgomo wa betpawa hatuchukui codes za betpawa humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…