AfisaUbashiriMwandamizi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 794
- 1,139
Mimi nimeongea kwa habarinya urahisi wa kutumia ipo wazi sana na sio complicated km hizo web app nyingine ndio maana watu wanaemdelea kukomaa na home is home badala ya kukimbilia sehemu ambayo ni kumu sana kucheza na mikeka hata kuiona pia ni ngumu they have to learn from bet power upande wa wizi wa kihesabu ni kweli hilo sipingi wanaiba na tutaendelea tu kutumiaHuu ni uongo, nasema huu ni uongooo umeandika jamaa.
Kama huwa unaweka mkeka huo huo sites tofauti utaona betpawa kwa sasa wanaiba kwenye algorithm yao, unavyoongeza mechi total odds haziongezeki kwa kadri odds za mechi zilivyo.
Dah mahaba upofu kweli bet power kuedit mkeka kazi, Mara mkeka ukute settled Mara uukute all in all do your favourMimi nimeongea kwa habarinya urahisi wa kutumia ipo wazi sana na sio complicated km hizo web app nyingine ndio maana watu wanaemdelea kukomaa na home is home badala ya kukimbilia sehemu ambayo ni kumu sana kucheza na mikeka hata kuiona pia ni ngumu they have to learn from bet power upande wa wizi wa kihesabu ni kweli hilo sipingi wanaiba na tutaendelea tu kutumia
Aya mkuuMimi nimeongea kwa habarinya urahisi wa kutumia ipo wazi sana na sio complicated km hizo web app nyingine ndio maana watu wanaemdelea kukomaa na home is home badala ya kukimbilia sehemu ambayo ni kumu sana kucheza na mikeka hata kuiona pia ni ngumu they have to learn from bet power upande wa wizi wa kihesabu ni kweli hilo sipingi wanaiba na tutaendelea tu kutumia
Huwa sipendi itaja kampuni nayopenda betia, ila kwa huu mjadala naomba niitaje. Mimi kwangu best site ya kubetia kwa Tz ni premier bet.Mimi nimeongea kwa habarinya urahisi wa kutumia ipo wazi sana na sio complicated km hizo web app nyingine ndio maana watu wanaemdelea kukomaa na home is home badala ya kukimbilia sehemu ambayo ni kumu sana kucheza na mikeka hata kuiona pia ni ngumu they have to learn from bet power upande wa wizi wa kihesabu ni kweli hilo sipingi wanaiba na tutaendelea tu kutumia
wewe utakuwa mgeni kwenye betting, ndiyo unaanza kubet. ukishabet kwa muda mrefu utakuja kugundua kwamba hakuna muuza odds muaminifu, wote ni matapeli.Huyu jamaa ni TAPELI..KUWENI MAKINI..AMENILA ELA ZANGU JANA..NA SIYO MIMI TU WATU WENGI..UKISHA MTUMIA ELA (HIYO 40000)ANA KU BLOCK,NA ANAKUONDOA KWENYE GROP..View attachment 2838330
Yani humu Kila mkamaria ni Tomaso.!!jina lako la kuuza bando linanikumbusha tapeli mmoja muuza bando wa telegram anaitwa Grace Bundles, yule mjinga ikafikia stage group zima mpaka wajinga akashtukiwa ni tapeli. mpaka leo bado yupo tu hakomi.
betting imekuwa ngumu mpaka watu wanaanza kuwawinda watu baadala ya mikeka.
Bando lipo pamoja na jana kuliwaJana wakamaria wamepigwa vibaya sana wengine leo hata bando hawana kabsa[emoji1787]
Very goodBetpawa ni kampuni niliyokuwa naipenda sana lakini sasa hivi nimeihama mazima kabisaaa
Ukiona mtu anatuma Hela aungwe kwenye group kwamba atapata odd za uhakika huyo ni TAHIRAAA.. hata elfu 1 usitoee bora ubetieee..! Anyway labda ni mgeni kwenye kubet pole yake.wewe utakuwa mgeni kwenye betting, ndiyo unaanza kubet. ukishabet kwa muda mrefu utakuja kugundua kwamba hakuna muuza odds muaminifu, wote ni matapeli.
binafsi nikimwona admin wa group la kubet profile picture yake kaweka vitu vya luxury na mandhari ya kifahari, basi najua huyo ni tapeli wa kutupwa.
siku nyingine usinunue mkeka, hakuna mkeka sure
Celtic shwaangi.
Club burge shwangiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya mkeweke tena hela mamaee hakuna cha option ya magoli wala direct win