Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hongera mkuu wewe ndo unabet sasa [emoji119] sie wengine tunasindikiza tu hahaha
Shukrani Kaka, hapana wote tunabet ila sema wengi wanapenda matreni na stake ndogo, ila laiti kama watu wangeelewa huu mfumo, tungekuwa tunakula sote.

Ubaya zaidi hata nikutuma odds 2 - 4 hakuna anayechukua. Wakati mwingine natamani nipige kimya ila sina roho ya kukunja.

Natamani kila mtu apate japo hata kidogo, ndio maana ya kauli mbiu yangu.

IWE HERI KWETU SOTE!

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Issue sio kupenda matreni, tunatofautiana uchumi, we unastake laki nne odds mbili na sometimes unachana ila una zingine, unakuta mtu mwingine akitoa 50k tu kaharibu bajeti ya mwezi so unakuta wengi humu wa buku buku coz hata hizo odds 4 2 sio kwamba hazichani, zinachana vizuri ila ndo hivyo Leo unakula kesho unaliwa ila upo fresh coz uchumi unao.. mwingine wa buku buku akipatia vizuri hela anapiga ndefu mpaka betpawa anapanic huko
 
Nimeshinda siku nzima natafuta odds 5 ila nimeliwa siku nzima nakuja kuzipata kwa Girona bora ningeweka hela yote hapa! Ila Girona anajua kunipa raha! Hela niliyopata naweka mechi za kesho sasa hivi ni Azama ashinde, Singida win or draw na Al hilal ashinde πŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Majuzi kuna mwamba alitaja timu kuni na tatu ambazo ni mara chache kuchana,kuanzia ijumaa nilizipa double chance,aisee zote zimetoa,
Timu zenyewe ni
Gorona
Crotone
B leverkusen
Aston villa
Frunkfurt
Winterther
Chesterfield
Stockport count
Blomley
Leicester
Raith rovers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…