Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndazitumia kuweka dau kubwa , na huu ndo tunaitampangilio na uchaguzi sahihi wa timu ambao unabahati ndani yake.
 
Dah hizi UEFA, Europa na Conference tuwe makini tu
Kuna timu zinahitaji ushindi ili ziende next round
Kuna timu hazihitaji chochote na lazima zitapumzisha wachezaji wao wazuri maana wamecheza game nyingi
 
Probability ya kuchana kwa odd chache au timu chache ni ndogo mno kuliko hayo matren.ukwel tatizo ni mtaji tu.ila hakuna asiyependa kuwek odd 2 au 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…