Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
Hii mechi ni kama imekuwa FIXED mkuu, additional time zilikuwa dakika 7, mechi ikachezwa hadi dakika 105Aliyefata hii code keka lishachanika mapema tu
Tuendeleeni na kazi nyingine
🙆
Pamoja sana!🤝
ECE4B7A editedECE4B7A
Sportybet
3K+ Odds
[emoji1696]
ECE4B7A edited
Bayern hamlegezei man uArsenal
Bayern
Madrid
Wote hao tayari wamefuzu na wako na uhakika wa kuongoza magroup yao. Sasa jichanganye!
Nenda Telegram Kuna group la Bet Genius Lina Subscribers Kama 90K hivi .huyu jamaa anatumaga high stake odds kule za 1XBet anawekaga Hadi mil 30 na anakula. Na games zake zote Ni free. Kajitoe muhanga kule. Ukiliwa sipo[emoji847][emoji847]Wakuu nina million 10 hapa nipeni odd ya 1.50 nitie mzigo
Ndo hii Sasa inaanza dakika ya tatu tayari 1-0 unafurahiiiii. inafika Hadi dakika ya 90+ ngoma bado inasoma 1:0 [emoji23][emoji23][emoji23] betting bana.Mie leo sijifanyi mchambuziiieeee
Naweka to over 1.5 basssss lolote liwe