Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimesearch sijalipata, nisaidie link mkuu
 
Agiza china mzigo wa nywel kwa mtaji wa million moja
Kule Kila wigi moja utapata kwa 27k then huku bongo unauza kwa 50k

Utapata faid kubwa mno

Achana na mambo ya ku-take risk
Best advice ever kutoka katika huu Uzi, ukisoma comment za humu unaweza than watu humu ni looser hawajielewi kumbe akili tunazo sema wengine tunajaribu bahati zetu humu labda tutapata mitaji from betting 😂 na wengine tunafanya just for fun
 
Soko unalo tuagize? Kama unalo nicheki PM, watu kama nyie ndio nawapenda sana.
Agiza china mzigo wa nywel kwa mtaji wa million moja
Kule Kila wigi moja utapata kwa 27k then huku bongo unauza kwa 50k

Utapata faid kubwa mno

Achana na mambo ya ku-take risk
 
Hawa wa Nigeria ni washenzi tu achana nao mkuu.
 
Na wewe ukaamini alicho andika ni sahihi?
Best advice ever kutoka katika huu Uzi, ukisoma comment za humu unaweza than watu humu ni looser hawajielewi kumbe akili tunazo sema wengine tunajaribu bahati zetu humu labda tutapata mitaji from betting [emoji23] na wengine tunafanya just for fun
 
Home team mtolee goli moja halafu bado shinde

Hapo maana yake home team lizima ishinde kwa tofauti ya bao kuanzi 2 ili ukitoa 1 bado anakua kashinda
FT ikiwa 2-0 ni lost?
 
Home team imepewa ushindi wa goli hizo tayari.....wewe kuendelea kuipa ushindi, au suruhi(2-2)/(3-3) as loss (2-3)/(3-4) ikiwa home team magoli yake ni hayo uliyoyatolea mfano.
Ikiwa 2-0 au 3-0 inakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…