Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kweli aisee
 
Hii kitu iliwai nitokea kipindi natumia parimatch nilisumbuana NAO kama siku 10 hivi pesa yangu ikarudishwa sasahivi sigusi kabisa parimatch niliwakimbia na sitorudi huko Kwa usumbufu nilioupata
 

Mkuu 1xbet haijasajiliwa Tz hata hao Selcom wanafanya kimazabe tu.... NI KOSA KISHERIA

Hata tunao tumia mawakala bado ni njia za panya hazitambuliki rasmi, ukidhulumiwa huna pa kwenda (ila angalau mawakala wana uhakika zaidi)

Ukitaka kuwa safe angalau hakikisha unatumia kampuni zilizosajiliwa bongo(.co.tz) lazima zitakua chini ya Bodi ya michezo ya kubahatisha ambayo inasimamia haki na maslahi ya mkamalia pindi anapozinguliwa na kampuni za kubet

Waepuka sana na Helabet maana hawa kila baada ya muda wakipiga sana watu wanafunga biashara na kuja na jina lingine.... walianza kama 22bet na sasa ni Helabet

Hapo komaa na Selcom tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…