Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,288
- 18,579
Antwerp mpaka leo hana point anaamkia kwa BarcaKeshapigwa
heri nusu shari kuliko shari kamiliLeo nimebet mkeka mmoja tu, na sijabet kuanzia jumamos, nimeweka 30k mkeka unakuja 338k kanji anatoa cash out ya 145K nipite nazo au nikaushe nimvizie
Hii kauli yako ya kusema , acha nilale sasa kesho nayo siku, mbona kinyonge na betpawa walivyo wambea fasta wanauweka pale juu mambo wahaa😃😃Nashukuru kwa code za kuunga unga na kujiongeza nyingine fc porto kafunga mkeka nimeshinda M 28, acha nilale sasa! Kesho nayo siku
huu mrefu sana, toa timu kama 7 hivi alafu weka bima ya timu tatu9D1FC96 | SportyBet
🔞
Nimechelewa sa ivi inasoma 75k😃heri nusu shari kuliko shari kamili
Mkuu usinivurugehuu mrefu sana, toa timu kama 7 hivi alafu weka bima ya timu tatu
Ukiwa muongo muongo!.... Umeze memory card yenye GB nyingi!.... kwaajili ya kutunza kumbukumbu tu! 👇👇Mimi jaman nimeaga rasmi kubeti maana this is too much nimeliwa mno hii miez miwili na stake naweka kubwa inauuma zaid
Miez miwili nimekula mara moja mkeka wa maana ule niliweka mia tano nikala mil 2 na kitu na zaid labda hizii za live ndo unakula ila nimekuwa nikiweka mikeka midogo ya odds 2-5 hela ndefu naliwa
Nimeliwa mno nimechoka naona betting hapana yaan litim linashinda wee ila siku ukiliwekea unaliwa
Ntabaki kwenye jukwaa kupiga story ila me kuweka tena mkeka NO
kashinda aisee,huyu raith rovers mlisema tumwamini kwa win popote? leo anaondoka na mikeka 3 amebaki yeye kutiki yote mitatu[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
humu tunapangaba sana!Ukiwa muongo muongo!.... Umeze memory card yenye GB nyingi!.... kwaajili ya kutunza kumbukumbu tu! [emoji116][emoji116]
Milioni 28?Nashukuru kwa code za kuunga unga na kujiongeza nyingine fc porto kafunga mkeka nimeshinda M 28, acha nilale sasa! Kesho nayo siku