yaan nimenyooshwa 35000/= within no time, kuna kanjia kamoja nilitumia ...nilichukua timu zilizo na odd isiozidi 9 katka option ya GGGG nikazipa GG au Y nikatupia mkwanja napo nikanyooshwa japo kwa mbinde ila kanjibahi alifanikiwa,
sahizi nipo dailema sijui hata nitumie njia gani ili nirudishe mkwanja wangu ,maana hela kibao imeliwa yaani mbaya zaidi upepo sina kabisa kwasasa ,
meeridian zimejaa Alama nyekunduu tuu hakuna jipya..
NATANGAZA LASMI NI MWENDO WA KUDESA TUU MAANA KAMA NIMESHINDWA MIMI NGOJA NITUMIE UPEPO WA WAKONGWE KATKA UZI HUU..