Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ila kuna la kujifunza hapa.
Binafsi kwa mwezi huu nimejifunza..

Usiiamini sana timu kubwa hasa ikiwa inacheza ugenini tena mbele ya timu dhaifu. Eg OGC Nice leo na wengine huko nyuma.

Usiidharau sana timu inapokuwa nyumbani sababu umeona tu kwamba timu pinzani imeizidi nafasi kidogo tu katika ligi.

Kuna muda magoli yanatoa zaidi kuliko direct win kwenye mechi. Naenda kufanya matengenezo.
 
Daah mancity kama joka lililosimuliwa katika biblia kuwa amekokota theluthi ya nyota na kuzibwaga. Naye kakokota mikeka yote Chali akisaidiana na bwana Celtic. Kiufupi hii kazi ni ngumu. Ni vichapo tuu na vilio, aliyesema kuwa betting Hela ni ya kiulaini na apingwe na wakamaria wote. Kanji heshima kwako mkuu. Sisi ndio tunakuwa manamba katika mashamba yako ya pilipili🤣🤣.
Hakika Celtic ni mhaini na muhujumu uchumi wa wakamaria namba moja.
 
Direct win hatari kwa afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…