Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole bby
 
Home United FC - Warriors FC
Over 2.5 goals
1.45

Tampines Rovers FC - Geylang Int.
Tampines Rovers FC
1.50


Hiyo ni breakfast
 
Ukisikia umbea ndio huu. Kodi inalipwa shida yao nn hao waandishi uchwara. Eti utafiti, wawaache vijana wafanye yao. Huyo muandishi kwanza mshahara wake haumtoshi. Badala aje atuombe odds 3 ajilipue anajifanya anatafiti. Mxiuuuuu
kwanza kiki yake haipati make mheshimiwa mwenyewe shida yake pesa ipatikane na betting inampa kodi anayotaka
 
Ukisikia umbea ndio huu. Kodi inalipwa shida yao nn hao waandishi uchwara. Eti utafiti, wawaache vijana wafanye yao. Huyo muandishi kwanza mshahara wake haumtoshi. Badala aje atuombe odds 3 ajilipue anajifanya anatafiti. Mxiuuuuu

Tatizo ni elimu ya hapa na pale. Zito alisema serikali ikisimamia vizuri mapato ya betting yanaweza kuendesha soka la Bongo. Hivi ajaona Sport Pesa ya Kenya imeenda kudhamini club ya Epl? Hii ni aibu kwa waandishi wetu wa habari.
 
Za moto moto hz hapa
LEIKNIR 1.58
AEK 2.55
KOLN 2.20
QABALA 4.75
TORINO 2.35

All win & total odds=98.94
chambua hapo
 



Mkuu, I want to commit to your plan. Let me give it a try!!! naanza leo, odds ni 4 tu. Naanza na 20K.

Asante sana.


 
Ukisikia umbea ndio huu. Kodi inalipwa shida yao nn hao waandishi uchwara. Eti utafiti, wawaache vijana wafanye yao. Huyo muandishi kwanza mshahara wake haumtoshi. Badala aje atuombe odds 3 ajilipue anajifanya anatafiti. Mxiuuuuu
Hahahahaha! Mkuu wachawi wapo wengi sana. Badala ya kudeal na maisha yao wanahangaika na masuala yasiowahusu. Utadhani watu wanaobet ndio wanarudisha nyuma maendeleo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…