Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

8A29972 code sport bet,, nime edit nikatoa game ya Sporting cp na fc porto

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Morning maafisa..! Leo nimekuja na Code mpya inaitwa "Mtumbwi wa Vibwengo" kipindi tunasubiri Safina lifanyiwe ukarabati basi tudandie huu mtumbwi wa Vibwengo! Hulazimishwi kudandia huu mtumbwi ni hiari yako tu maana Dhuruba na mawimbi kutoka kwa kanji ni makali sana 03D5650 Sporty bet 💪🙏 mtumbwi wa Vibwengo ni kwa wale maskini wenzangu wa mia mia! Nyie wenye mitaji mikubwa kampeni Atlanta na girona win muweke Malaki yenu kama mnacheza nyie uwanjani 😂 Asanteni🙏
 
Ahsante Mdau
Ila Safina jana ilizama kabla hata ya kuingia majini
 
Me nilikuambia kosa lako kuleta code humu 😂 ona sasa safina limezama na maafisa ubashiri
 
Tip 2

FK Cukaricki Belgrade vs
FK IMT Novi Belgrade - home win

Doxa Katokopias vs
Aris Limassol FC - away win

Panaitolikos Agrinio vs
AEK Athens - away win

Girona FC vs
Alaves - Over 1.5

Odds 3.23

Weka mpunga[emoji4]

Best wishes
Ungekua unaweka na ligi ya hizo mechi ungewarahisishia sana maafisa
 
Waandalie uwapendao zawadi ya sikukuu ya X-Mas.....

Today 17:30-Alhamisi 23:30

Usijesema hukujiandaa...

31381FB3

Wekeza!,

Uwekezaji wetu huu naweza kuufananisha na uwekezaji wa mgodi,

Mgodi (bookmarker) unawekeza kiasi kikubwa cha fedha, kupata faida endelevu,

NA wewe kama mwananchi wa kawaida unawekeza sh 200, kwa usafiri wa baiskeli kufika eneo wanapomwaga makapi,

Unafanikiwa kupata dini linalobadilisha kabisa! Maisha yako!
 

Attachments

  • Screenshot_20231218-110924.png
    18.9 KB · Views: 20
  • Screenshot_20231218-110856.png
    22.7 KB · Views: 28
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…